Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Nimekosa njia sahihi ya kukusaidia simply mpira umeanza kufatilia ulipomaliza form four may be 2015-->Hadhi yake sio kucheza Chelsea, usijitie upofu, muda mwingine mnatia Aibu kwa mnayoandika eti "ata spoil vijana" [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Kwani ushabiki wa mpira ni kabila? Huwezi kuhama siyo! Hivi nawaelekeza watu wenye uelewa kweli kiasi kwamba hatuelewani hapa au ndio mnajitoa ufahamuMkuu huo sio utani ni kwel kbs hyo timu alisajil (kununua) washabiki mwanzo mwanzo
Ewalaa kumbe ulihama hapo ndo tumeelewana mkuu funga na kikao kabisaaKwani ushabiki wa mpira ni kabila? Huwezi kuhama siyo! Hivi nawaelekeza watu wenye uelewa kweli kiasi kwamba hatuelewani hapa au ndio mnajitoa ufahamu
Ushabiki uwe na mipaka wazee.Debate forward kali msimu huu?View attachment 1227909
Halafu saa nyingine unaweza kuwa unabishana na vitotot ambavyo hata kwenye mitandao haviruhusiwi kuwepo, wako tu huku kwa kudanganya umriNimekosa njia sahihi ya kukusaidia simply mpira umeanza kufatilia ulipomaliza form four may be 2015-->
Umesahau na wazee wa liver since 1989/1990 hawajawahi kubeba ndoo ya epl mpk sasa
Hatokujibu mkuu ngoja nimsaidie tu
Here are the top five most successful
clubs in English football history.
1. Liverpool - 42 Trophies.
2. Manchester United - 42
Trophies. ...
3. Arsenal - 30 Trophies. ...
4. Chelsea - 24 Trophies. ...
5. Aston Villa - 20 Trophies. ...
Hivyo bas huyo akikaa hovyo hata aston villa itamzid kwa mataji
Chelsea doesn't belong to the past and it will never be a museum football club.
Hakuna shabiki wa liver au arsenal aliyeanza kushabikia timu yake kipindi cha miaka ya 90 mpk 2000.wengi wao wameanza kushabikia mpr kpnd cha miak ya 2000 mpk 2010.
Kama yupo atudanganye kuwa alianza kushabikia lini timu za england
Hebu subiri kwanza.
Kwa Tanzania tv zimeanza kuja miaka ya 90 mashabiki wa timu nyingi za nje ya Tz wameanza miaka hiyo uliyosema. Ila kuna timu zimepata mashabiki baada ya matajiri kuanza kuwekeza au kuonyesha ukomavu.
Chelsea na Man City mashabiki wake kwa Tz ni kutokana na uwekezaji. Na Tottenham ni spirit yao ya upinzani.
[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]View attachment 1228307
Kwani ushabiki wa mpira ni kabila? Huwezi kuhama siyo! Hivi nawaelekeza watu wenye uelewa kweli kiasi kwamba hatuelewani hapa au ndio mnajitoa ufahamu
Hiyo sms ilikuwa kwa ajili yake na Arsenali
Halafu saa nyingine unaweza kuwa unabishana na vitotot ambavyo hata kwenye mitandao haviruhusiwi kuwepo, wako tu huku kwa kudanganya umri
Ewalaa kumbe ulihama hapo ndo tumeelewana mkuu funga na kikao kabisaa
Ushabiki uwe na mipaka wazee.
Tunaelewa mtu huvutia kwake.
Ila kweli kabisa unawafananisha Mane, Salah na Firmino na Tammy na Mount? Hua unaangalia games zenu? Tammy kukosa magoli yeye na kipa siyo jambo la ajabu, sawasawa na Rashford (Hapa utasema Salah pia mechi iliyopita alikosa goli yeye na kipa, lakini ilikua ni nafasi hiyo tu haikujirudia tena) ila Tammy na Tashhford kukosa magoli ni sehemu yao ya kazi.
Hiyo idadi ya mabao haifichi ukweli kua Mane wenzie wakiwa kwenye 18 ni tishio. Mechi ya mwisho mnashinda goli nne, Tammy aliscore, lakini vile ndiyo striker anascore? Pure luck, no skills, technic nothing..
Usiwashushie heshima yao wakina Mane.
Hakuna shabiki wa liver au arsenal aliyeanza kushabikia timu yake kipindi cha miaka ya 90 mpk 2000.wengi wao wameanza kushabikia mpr kpnd cha miak ya 2000 mpk 2010.
Kama yupo atudanganye kuwa alianza kushabikia lini timu za england
Kama mtu 98 ulianglia kombe la dunia t, but I still unaongea mawazo ya kitoto there is something wrong in ur brain,Yaani kwanini mnapenda kujidharaulisha?[emoji23][emoji23]
Unaposema HAKUNA SHABIKI WA LIVER AU ARSENAL ALIYEANZA KUSHABIKIA TIMU YAKE MIAKA YA 90 - 2000 una maana gani????
Binafsi kombe la dunia la 1998 liliofanyika Ufaransa mimi nilikuwa shabiki mkubwa wa Arsenal[emoji16][emoji16][emoji16]nahisi kipindi hiko wewe hujazaliwa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23] na hata kama ulikuwepo basi hujui lolote kuhusu soka......maana hata nikikuuliza Marcel Desaily,Didier Deschamps walikuwa wachezaji wa timu gani basi kitu cha kwanza kufanya utakimbilia google then urudi hapa kubwabwaja.......
USILAZIMISHE TUFANANE MKUU,WENGINE NI BABU ZAKO.
Yani ww ni kinda kbx ndo unajiita babu.Yaani kwanini mnapenda kujidharaulisha?[emoji23][emoji23]