Ukiwa mwanaume kuwa na msimamo mwanzon ulisema unatupa mechi kumi tutakuwa nje ya kumi Bora, pia uksema wolves nae atatufunga tukashinda , yan most of time tabiri zako zinafeli still hujifunzi kuwa na akiba ya maneno ,mechi ya final ueropa ulipiga kelele kujisifia then ukapigwa ,unaendeshwa na hisia thus y all the time prediction zako zinafeliNilisema Chelsea mtamaliza nafas ya 10-15
Hiyo nafas mliyokaa ni kwa muda tu,
Najua mtakuja kubisha ila ukweli mnaujua
Baada ya break , ndio mtaelewa namaanisha nini
View attachment 1226162
Bayern siyo wajinga kutoa more the £40 for under 19 kid.
Hv ww unajua vzur wachezaj wa bayern had unachapia kusema pulisic badala ya persic kwel ww n shabk maandaz.Sawa,
Lakini unavyoona ile front line ya Bayern pale Odoi angecheza namba ya nani? Ikiwa Pulisic,Muller wanasugua?
Sijasema kuwa Odoi hana kipaji Ila kuna ile kitu kuzidiana uwezo......
Ndo shda ya mashabk wa arsenal kwnz nenden kwny uzu wenuSawa,
Lakini unavyoona ile front line ya Bayern pale Odoi angecheza namba ya nani? Ikiwa Pulisic,Muller wanasugua?
Sijasema kuwa Odoi hana kipaji Ila kuna ile kitu kuzidiana uwezo
Na ukiangalia kijana bado mdogo na anahitaji muda mwingi wa kucheza ili kukuza kipaji na uwezo wake.....
Halo Chelsea ana uhakika wa kucheza na ndio maana anajisifu kwa maamuzi aliyochukua maana angeenda Bayern ingemcost sana.
Ukiwa mwanaume kuwa na msimamo mwanzon ulisema unatupa mechi kumi tutakuwa nje ya kumi Bora, pia uksema wolves nae atatufunga tukashinda , yan most of time tabiri zako zinafeli still hujifunzi kuwa na akiba ya maneno ,mechi ya final ueropa ulipiga kelele kujisifia then ukapigwa ,unaendeshwa na hisia thus y all the time prediction zako zinafeli
Kulibgana na umri alonao usitegemee atapata dakika zote kucheza. Kwa umri wake lazima kuwe na mistakes nyingi ivyo ndio umri wa kujifunza sana hata leo hii Hazard kama angeendelea kuwepo ni lazima Odoi angekula benchi aendelee kujifunza kwa kna Willian, Pedro na Hazard then anakua anapata walau dakika 15-20 kitu ambacho hata Bayern kama angesinya kingetokea tu.Sawa,
Lakini unavyoona ile front line ya Bayern pale Odoi angecheza namba ya nani? Ikiwa Pulisic,Muller wanasugua?
Sijasema kuwa Odoi hana kipaji Ila kuna ile kitu kuzidiana uwezo
Na ukiangalia kijana bado mdogo na anahitaji muda mwingi wa kucheza ili kukuza kipaji na uwezo wake.....
Halo Chelsea ana uhakika wa kucheza na ndio maana anajisifu kwa maamuzi aliyochukua maana angeenda Bayern ingemcost sana.
Kama mechi kumi bado huyo mwenzio kasha badilika saiz kasema adi msimu umalizike, huyo jamaa ako tabiri zake nyng anafeli , ueropa final game ya wolves Watford zote izo alitabil tutaloseUkiwa mwanaume lazma uwe na uvumilivu na subra ,kwani mechi 10 tayari?
Mbona huzungumzii yakwako na liverpool[emoji23]Narudia tena kutoa elimu ya bure kulainisha vichwa vigumu Chelsea kamfunga Brighton 2-0 ,Brighton kambonda Spurs 3-0, Brighton kajichokea?, Chelsea kampiga wolves 5-2 ,wolves Kambonda City 2-0 ,wolves kajichokea?, Chelsea kambonda Soton 4-1 wakati Liverpool katafuta ushindi kwa taabu 2-1 Soton kajichokea, ushindi wetu sio wa bahati bahati unashinda kagoli kamoja unakaa kwa presha 90 minutes, wivu tu unawasumbua
Kwan lazm atoe mifano yote ww ukshapewa mifano m3 inatosha acha usumbufuMbona huzungumzii yakwako na liverpool[emoji23]
Timu alizo zifunga ni kweli zimejichokeaKwan lazm atoe mifano yote ww ukshapewa mifano m3 inatosha acha usumbufu
vipi umekula chochote asubuhi hii maana umekurupuka kama mtu mwenye njaa ya siku tatu, unapokuta comment tafuta kiini cha mjadala kisha jikite kwenye madaMbona huzungumzii yakwako na liverpool[emoji23]
Timu alizo zifunga ni kweli zimejichokea
Mbona asimfunge Leicester?
ukipata kifungua kinywa cha nguvu akili yako itagundua man city kafungwa na wolves, Brighton kamfunga spurs haimaanishi waliofungwa ni dhaifu, au Man Utd timu imara kuliko leceister kwa Sasa?naishia hapo tuendelee kujenga taifa kwanzaTimu alizo zifunga ni kweli zimejichokea
Mbona asimfunge Leicester?
Umeulizwa swali rahisi unambwelambwela tu....vipi umekula chochote asubuhi hii maana umekurupuka kama mtu mwenye njaa ya siku tatu, unapokuta comment tafuta kiini cha mjadala kisha jikite kwenye mada
kichwa kigumu timu kufungwa haimaanishi ni dhaifu ni game plan imekataa, utatukanwa humu ndani utasingizia Ohh hamtaki challenge, narudia tena kuwa muelewaUmeulizwa swali rahisi unambwelambwela tu....
Wolvers 2 vs Chelsea 5
Man city 0 vs Wolvers 2
Man city ? Vs Chelsea ?
Chelsea ? vs Man city ?
Man utd 4 vs Chelsea 0
Man utd 1 vs Arsenal 1
Arsenal ? vs Chelsea ?
Je, matokeo ya hizo mechi yatakuwaje,ikiwa wewe ulimpiga wolvers 5 na wolvers kampiga city 2 ina maana chelsea itamfunga city goli 10 kwa maana yako,maana hapo city ni kibonde.....
Na kama pale Oldtraffod umebamizwa 4 na Arsenal wafalme wa London wamepata suluhu kwa maana hiyo game na Arsenal jiandae kupigwa 4 safi,
Yeeeees si ndio maana yako......
Mpira haupo hivyo,jifunze
Tunaangalia ushindi ..... Ukisema eti kashinda kwa tabu izo ni siasaZmejchokea kvp so unataka kusema hao wolves amebahatisha kumfung man cty 2 kavu na liver naye kwann asngemfunga soton gol 4 kama soton naye amejchokea kkaishia kushnd vgol vwl tena kwa taabu
Unyooshage maelezo ungekuwa mwanafunzi wangu ningekuzaba vibao mpaka ukae sawakichwa kigumu timu kufungwa haimaanishi ni dhaifu ni game plan imekataa, utatukanwa humu ndani utasingizia Ohh hamtaki challenge, narudia tena kuwa muelewa