na ndio maana wewe unamsifia leo hii kwakuwa yupo hapa Chelsea,maana hata Luiz pia ulikuwa mnamsifia ila alivyokuja Arsenal amekuwa sio mchezaji tena hahahahahh,huyu PEPE mnaomponda leo angekuwa amesinya hapo kwenu leo hii mngekuwa mnacreate hoja kibao za kumdefendUyo uyo Tomori akija arsenal utaanza kumsifia na stats za kutosha..
aiseeee watu mnaadimika........yaani umekimbia jukwaa lako kitambo sana mkuu,umewaachia hawa kina Southern Highland wabishi hawa kichwa ngumu,hebu wafundishe fundishe kidogo[emoji725]View attachment 1223646
mzee upo[emoji725]View attachment 1223646
hoja yako ni kipa au kikosi mbona unachanganya maaasai na abrlia ficha ujinga wakoRochdale AFC kikosi kizima kina thamani ya £2.23 mil. lakini Kimeruhusu goli moja(1) tu! old Trafford
.
Kepa tuliyemnunua kwa thamani ya £71.6 mil. alisokomezwa goli zake nne(4) safi! Old Trafford
.
Umegundua nini?View attachment 1223326
Msimu huu hawa Chelsea lazima waende nafas za 10-15 na mwenzao man uKatika HOLDING mmoja Kuna hao kina Tomori kumi,
Azpilicueta hata robo ya Hector hajafikia,
Alonso wakiwa 20 ndio sawa na KIERAN TIERNEY 1,
KEPA 7 sawa na LENO1,
kina Barkley 50 unapata CEBALLOS 1,
Abraham 15 unapata AUBAMEYANG 1,
Sasa kama huwez kuelewa hapo ,mm sina msaada zaidihoja yako ni kipa au kikosi mbona unachanganya maaasai na abrlia ficha ujinga wako
Kajibu pumba mkuu. Achana naye huyoAkikujibu unitaq na mimi[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Teh.. Mtu akikwambia ulete facts unamuona mbishi?aiseeee watu mnaadimika........yaani umekimbia jukwaa lako kitambo sana mkuu,umewaachia hawa kina Southern Highland wabishi hawa kichwa ngumu,hebu wafundishe fundishe kidogo
Jorg is our new vice captainView attachment 1223512
Tatizo lake kante sio muongeajiI'd prefer it to be Kante though.
maajabu unataja wachezaji ambao hata kuitwa team ya taifa Ndoto, Tomori kaitwa national team kwa mechi nne tu huyo holding yupo yupo tu ni wa nchi ipi Kwanini asiitwe? , kepa anadaka Spain ulishasikia Leno akidaka German, azpiculeta anacheza Spain huyo Hector ni wa nchi gani? ,Barkley na ujinga wake anatamba England ya SouthgateKatika HOLDING mmoja Kuna hao kina Tomori kumi,
Azpilicueta hata robo ya Hector hajafikia,
Alonso wakiwa 20 ndio sawa na KIERAN TIERNEY 1,
KEPA 7 sawa na LENO1,
kina Barkley 50 unapata CEBALLOS 1,
Abraham 15 unapata AUBAMEYANG 1,
I'd prefer it to be Kante though.
Ukweli mchungu, uongo mtamu, huu ujumbe watau SKIP sana tu!Chelsea kwa makelele bhanaView attachment 1223321
maajabu unataja wachezaji ambao hata kuitwa team ya taifa Ndoto, Tomori kaitwa national team kwa mechi nne tu huyo holding yupo yupo tu ni wa nchi ipi Kwanini asiitwe? , kepa anadaka Spain ulishasikia Leno akidaka German, azpiculeta anacheza Spain huyo Hector ni wa nchi gani? ,sijamtaja Emerson, Jorgihno, Kante, Rudiga ,Giroud first eleven mataifa yao, Kuna wachezaji na vichezaji,usifananishe wachezaji wa Chelsea na vichezaji vya Arsenal
Niliona ni timu ambayo itachallenge team ya man city na Liverpool itachukua nafasi ya tatu ila kwa mwenendo wao Huu sioni Kama itaweza kuingia big 4.Hawa Spurs mpaka waje kuamka sisi tutakuwa tumewaacha Mlandizi
Mildfield wabovu
- New castle 1
- Leicester city 2
- Colchester kwa penalti
- Bayern 7
- Na leo BHA 3
Defense mbovu
Mbele butu ni Moura pekee dk ya 70 hivi ndie aliyeleta uhai baada ya kuingia badala ya Son
Mchezaji pekee wa First XI aliye majeruhi ni Kipa Hugo Lloris
Itakua ni opportunity kwa timu nyingine kuchalenge top four siwaoni wakiingia top four msimu huu, labda wabadilike huko mbeleniNiliona ni timu ambayo itachallenge team ya man city na Liverpool itachukua nafasi ya tatu ila kwa mwenendo wao Huu sioni Kama itaweza kuingia big 4.
Chelsea tushindwe tu wenyeweNiliona ni timu ambayo itachallenge team ya man city na Liverpool itachukua nafasi ya tatu ila kwa mwenendo wao Huu sioni Kama itaweza kuingia big 4.
maajabu unataja wachezaji ambao hata kuitwa team ya taifa Ndoto, Tomori kaitwa national team kwa mechi nne tu huyo holding yupo yupo tu ni wa nchi ipi Kwanini asiitwe? , kepa anadaka Spain ulishasikia Leno akidaka German, azpiculeta anacheza Spain huyo Hector ni wa nchi gani? ,Barkley na ujinga wake anatamba England ya SouthgateChelsea kwa makelele bhanaView attachment 1223321