Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ile haikuwa mechi ya Futuhi, ilikuwa ni EPL, ila timu zilizokuwa zinacheza ni zile timu za Futuhi na walionyesha kweli kwamba walistahili kucheza Europa
 
Paul Merson Says:

In two or three years' time, this Chelsea team will be dictating the Premier League, mark my words. All of their young players would have played 100-odd games together by then and, if they continue in the same vein, their countries too.
Chelsea tuna timu nzuri hata kuwazidi #Liverpool na #ManCity, hao vijana wanachotakiwa ni wazoee tu EPL, ndio maana nikasema mambo mazuri yanakuja huko mbeleni
Wee kijana kama Tammy, Mount na Tomori ndio kwanza wanaanza EPL na wameshakuwa hatari namna hii. Je wakizoea itakuwaje
Ndio maana Paul Merson anasema "Mark my words"
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapenzi mabaya sana
 
Paul martson ni shabiki wa Chelsea?
Huko chini kaongezea yeye binafsi kwa mahaba yake. Kauli ya Martson n hiyo juu. Sasa hapo chini jamaa anakwambia Chelsea ina kikosi kizuri kuliko man city [emoji23] [emoji23]
 
Huko chini kaongezea yeye binafsi kwa mahaba yake. Kauli ya Martson n hiyo juu. Sasa hapo chini jamaa anakwambia Chelsea ina kikosi kizuri kuliko man city [emoji23] [emoji23]
Jamaa kiingereza kinakupiga chenga. Jamaa amesema in 2/3 yrs to come...
 
Wewe tema mate chini mkuu,si ulikula 4G pale lakini au ndio ushajisahaulisha?
 
Sasa uligongwaje 4 buyu na hao wasiojua mpira? Basi wewe ndio hujui kabisaaaaaaa kuwa na heshima na aliyekukong'oli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…