Tofauti ipo tenza sanaTumerudi enzi za babu sari kuuchezea mpira saaaaaana ila hatupati magoli.
Kovacic angeanza badala ya Barkley.
Tammy Abraham anaremba sana mashambulizi.
Kusema Odi ni bora kuliko Pedro ni Mapema mno, ngoja acheze mechi ndogo na kubwa kwanza japo ni rahisi yeye kugain form kuliko Pedor kwa sababu ya UmriHaya wanaomponda odoi mbona hamuongei odoi ni better than pedro
Unatakiwa umsifu kipa alikosa kutokana na juhudi za kipa sio kama nafasi alizokuwa anakosa kipindi kile torresTammy Tammy Tammy dah leo angetakiwa atoke na goal 2. Huyu bwana mdogo sio wa kumuamini sana.
Kabisaa yan anapoteza tu mipira ,Yuko slow anapoteza mipiraBarkley inabidi aende developing squad, yupo slow, anapoteza ovyo... nazan siku zake za kubaki chelsea zinahesabika
Odoi, loftus cheek hawa ni wachezaji wakuingia sub. Odoi na cheek ni wachezaji wazuri timu ikiwa inashambulia, ila timu ikizidiwa hawa jamaa wavivu kukaba aisee.
Haswa odoi akipiga vyanga vyake akanyang'anywa mpira hakabagi anasimama.
Kiufupi ni wachezaji wazuri timu ikiwa inashambulia mara kwa mara.
Kama mawazo yangu kwenye big match its better watokee benchi. Kwa match ndogo waanze 1st eleven wazidi kuimarika zaidi na zaidi.