Giroud hakuwepo kwenye bench na Pulisic Lampard ana Imani kwa mason Mount Zaidi ya Pulisic. Kwa mtu anayestrugle halafu ukamchezesha kwenye mechi kubwa kama ile ya EPL ni kumuonea. Pulisic atapewa mechi ndogondogo na ligi ndogo ndogo kama FA na Karabao mpaka azoeeHivi kwanini kocha hakufanya sub ya Mount akaingia Pedro au Pulisic, Abrahamu akaingia Giroud?
Nasita kukubalia hilo. TAA ana mbinu na ujanja wa kucheza lakini kwenye total RB performance ni mapema mnoAiseeeehhhh.....mimi nasema hivi TRENT ALEXANDER-ARNOLD ni best fullback in the world.....
Nampenda Alonso kwenye attacking hata defensively kaimprove sana - Asipodrop form basi Chelsea tuko lucky kuwa na LB wawili bora
Emerson ni mzuri Zaidi kwenye defensive phase
Ndivyo Lampard alivyopanga, hasa Reece James na Odoi ili waweze kuwa fit kwa EPLNingependa mechi ya EFL , dhidi ya Grimsby Town .Wachezaji kama R.James, Hudson - odoi , Pulisic na Batshuayi . wapate nafasi ili tuone uwezo wao .
Itakua vizuri sana, Na uzuri mechi hii tutaionaNdivyo Lampard alivyopanga, hasa Reece James na Odoi ili waweze kuwa fit kwa EPL
Mtafute hapa kama utampataAiseeeehhhh.....mimi nasema hivi TRENT ALEXANDER-ARNOLD ni best fullback in the world.....
Mtafute hapa kama utampata
THE 2018-2019 FIFA FIFPRO MEN’S WORLD 11 IS
Player (country, last season’s team)
GOALKEEPER
Alisson Becker (Brazil, Liverpool)
DEFENDERS
Virgil van Dijk (The Netherlands, Liverpool)
Matthijs de Ligt (The Netherlands, Ajax/currently Juventus)
Marcelo (Brazil, Real Madrid)
Sergio Ramos (Spain, Real Madrid)
MIDFIELDERS
Eden Hazard (Belgium, Chelsea/currently Real Madrid)
Frenkie de Jong (The Netherlands, Ajax/currently Barcelona)
Luka Modric (Croatia, Real Madrid)
FORWARDS
Kylian Mbappe (France, Paris Saint-Germain)
Lionel Messi (Argentina, Barcelona)
Cristiano Ronaldo (Portugal, Juventus)
Kwasisi tunaoangalia mpira online hii game tutaona wapi?Predicted Chelsea XI against Grimsby Town today:
Caballero;
James, Guehi, Zouma, Maatsen;
Gilmour, Jorginho, Barkley;
Hudson-Odoi, Batshuayi, Pulisic.
Zuma alipokuwa chini ya Mourinho mlimdhalilisha lini Arsenal, au ndiyo kujitoa ufahamu? [emoji23]Mpaka zuma kafunga hamna timu hapo au kamfunga kipa wake[emoji205]
Reece kufunga na assists 2. Hii ni motivation akijiandaa kuchukua mikoba ya Azpi
Odoi kufunga moja kakosa kama 3 za wazi
Pulisic pamoja na kucheza vizuri ila bado anastrugle
Batsuayi pamoja na kufunga 2 bado sio clinical finisher
Mwisho Chelsea vs Grimsby Town 7 - 1