SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,451
Kwahyo mkuu, kwa mujibu wa reasoning yako, Liverpool imewaonea tu? Ukiwa na Kante, Azp, Alonso, Jorginho, Kovacic, Willian, tuache hao watoto ambao naona ndo your shield of excuses.Mpige City tukuone kidume lakini wajanja wenzio wanaona gemu yetu ilikuwa nyepesi tu sababu ni kikosi B pia bado hakijazoeana sana.
Pili timu imejawa na majeruhi kibao, so weka akiba ya maneno ili uje uifunge Chelsea ikiwa haina sababu yoyote ile kujitetea lakini si sasa hivi.
Shukrani Bosi, ninachoomba Lampard asije kuwa na nguvu za soda kama Ole Sendeka alivyotuaga pale OT lakini sasa hivi tayari kashaanza kuflop kwa matokeo mabovu ya timu hata kimpira
Kwahyo mkuu, kwa mujibu wa reasoning yako, Liverpool imewaonea tu?
Hongera sana mkuu..Nimekupiga kimyaaa
Kwahyo nyie mshakuaa a midtable team au sio? Ambayo ikifungwa ni kuonewa tu ila ikishinda ni bestKwa akili zako we unaonaje? Yani Chelsea iende kucheza na Reading FC ishinde 2-1 afu kwa akili za kuzaliwa kabisa nishangilie? Huo ni utoto sasa [emoji1787]
Hii hapa nukuu toka kwa wachambuzi wa mpira akina Viatu vya samaki kama unaona mi nakurupuka tu kueleza hapa sawa na wewe [emoji28]Kwahyo nyie mshakuaa a midtable team au sio? Ambayo ikifungwa ni kuonewa tu ila ikishinda ni best
Wewe umekunywa Mataputapu nini,Hiki ni kikosi BMpige City tukuone kidume lakini wajanja wenzio wanaona gemu yetu ilikuwa nyepesi tu sababu ni kikosi B pia bado hakijazoeana sana.
Pili timu imejawa na majeruhi kibao, so weka akiba ya maneno ili uje uifunge Chelsea ikiwa haina sababu yoyote ile kujitetea lakini si sasa hivi.
Mpige City tukuone kidume lakini wajanja wenzio wanaona gemu yetu ilikuwa nyepesi tu sababu ni kikosi B pia bado hakijazoeana sana.
Pili timu imejawa na majeruhi kibao, so weka akiba ya maneno ili uje uifunge Chelsea ikiwa haina sababu yoyote ile kujitetea lakini si sasa hivi.
Wewe umekunywa Mataputapu nini,Hiki ni kikosi B
William
Kante
Jorginho
Kovaci can
Christensen
Kepa
Azpiculleta
Ni timu B hii acha Mataputapu kijana
Injuries are part of the game
Huyo sio shabiki wa Chelsea ni mnafiki wa wale wale kule kulePut some respect on Lampard name. Hakulazimsha kuja Chelsea ni bodi ndio ilimtaka. Kajifunze mpira kwanza
Acha excuses za kishabiki tu mkuu Liverpool imeshazifunga team kubwa kibao tu zikiwa na kikosi kamili cha kwanza unaongea as if ukiwa na hao wachezaji LAZIMA utashinda.Kwa akili zako we unaonaje? Yani Chelsea iende kucheza na Reading FC ishinde 2-1 afu kwa akili za kuzaliwa kabisa nishangilie? Huo ni utoto sasa [emoji1787]
Hii game ingekuwa Arsenal?
Chelsea leo walicheza vizuri sana
Mount na Tammya wana safari ndefu kuaj kuweza kucompete kwenye big matches
Academy aliyecheza vizuri leo ni Tomori tu, kamuweka Salah mfukoni kabisa mpaka Salah akakosa raha waziwazi
Zouma nae kucheza vizuri
Kila mchezaji kucheza vizuri
General low quality ya defense ndio iliruhusu magoli yale ya adhabu ila mimi sikuona error ya wazi ya mabeki au MF
Timu ikistabilize hivi hizi timu zingine ukiondoa Mancity na Liverpool tutazilipua bila chenga
Ingekuwaje ?mm Liverpool kanifunga kwake , tena bado kocha alichangia kwa asilimia kubwa .....ingawa Liverpool wapo vzrHii game ingekuwa Arsenal?
Arsenal kaingiaje hapo, pambana kivyako. Yaani upigwe wewe afu unaongelea timu zingine!!!Hii game ingekuwa Arsenal?
Don't worry about that and try to proceed praying well for your team coz you never know what is gonna happen on the next days upon your side [emoji28]
Kumfananisha Tammy kama Drogba haina maana ni Drogba, hii ni lugha. kwa anavyocheza ni anaelekea kwenye level hiyo. Kushindwa kufunga mechi moja tu sio deal, bado anazo mechi nyingi mbele yake na atafunga sana tuNdio mjipange sasa sio uyofoward wenu mechi moja tu akajiona drogba.
Utofauti wa chelsea na Liverpool mpaka sasa ni 10 point.nawakumbusha tu