Nimeangalia msimamo katika Michezo 5 Wolves hajashinda hata mmoja na yupo kwenye Relegation zone.
Kumbe haki yenu kujipigia hili ni anguko la Wolves
Nilitaka kufukua post za AROON hapa ila baadae nagundua kuwa ni mpuuzi. So nimeziacha
Tuna KIPA MBOVU sijapata kuona
Kwani kipindi mnasema hatuwezi kupata point kwa Wolves hamkujua haya?
WALIMWENGU [emoji23][emoji23]
Wwe ulijihakikishia kabisa wolves anashinda leo tena unakuja na porojo za wolves kucheza mechi za kufuzu,,kabla ulkua hujui kuwa kacheza izo mechi!?
Huyu Kipa ni bomu
na Abraham anafunga team zilizopanda daraja afunge na wolves tumuone... Kweli tunakuelewa
Wewe mamluki
Huko nyuma nilikuwa mimi na Kyatile tu nadhani ndio tulikuwa tunamteeta na kuwa na Imani na Tammy, wengi humu wakadai ni wa Championship, EPL hawezi kufunga hivi
Mechi 5 tu na Chelsea mbovu goli 7 je tukikamilika na akicheza game 38 itakuwa ngapi?
I totally disagreeNazan kuingia kwa barkley kumebadilisha mchezo kabsa, tukaanza kuzidiwa... barkley mule hakuna mchezaji, hajui kukaba,handling football hawez... ni useless kama bakayoko
Chelsea is vulnerable defensively, it's not a goalkeeper's fault. Don't be STUPIDkeppa[emoji122]View attachment 1207599
Walileta na quote za yule shabiki uchwara wa Arsenal Charlie Nicholas wakidai Chelsea itafungwa 2-1, sasa wanakuja na visababu vya EuropaKwani kipindi mnasema hatuwezi kupata point kwa Wolves hamkujua haya?
WALIMWENGU [emoji23][emoji23]
Huyu hapa ndie Sangoma wa Arsenal na akina Aroon wanamuamini sanaSISI KAMA WACHAMBUZI TUNAONA WEEKEND HII CHELSEA AKILAMBISHWA MCHANGA
[emoji169] Norwich 2-6 Man City [emoji838]
[emoji837] Man Utd 1-1 Leicester [emoji1663]
[emoji191] Wolves 2-1 Chelsea [emoji841]
Charlie Nicholas has penned his full Premier League predictions for the weekend [emoji116]View attachment 1205531
Tomori is far better than Zouma, Zouma hatulii na sio mzuri kwenye decision making ya kidefenderRudiger akiwepo pale nyuma panatulia
Zouma stil bado huyu anafaa kwa carabao
Tomori ni mzuri kuliko hata zouma
Yaani leo academy wote wametubebaMade in Chelsea [emoji91][emoji91]View attachment 1207571
Wewe usijibu post zingine sio za mashabiki wa Chelsea, Ni kutoka kwenye zile kamati za ufitiniGoli la kwanza Tammy amejifunga.
Siyo kipa mbovu, kama umeangalia mpira. Acha kuangalia mpira kwenye comments za livescore. Jitahidi kuangalia mechi.
Pale nyuma kuna matatizo ya kiulinzi, mfano mpira wa pili kipa anausave, unapigwa tena kabla hajaamka ila beki wawili wanauruhusu unaingia wavuni. Goli la pili limetokea kwa Zuma na Tammy alikuwa amezubaa. Subiri Kante apone, Rudiger apone alafu mwisho wa msimu tusajiri center back
Wameshachoka wamecheza mech karibu 10 ,6 za kufuzu Europa , na za preseason ,
Ni sawa na kilichomtokea Burney , alicheza mech karibu 9 zikiwepo zakufuzu Europa , alipokuja EPL alipotea sana
Ndio kinachomkuta wolves