Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Kumbukumbu kidogo. Hii kitu ilifanywa na Chelsea iliyodharauliwa sana kipindi hicho mbele ya club bora na huu mwaka Messi alifunga magoli 91 lakini hakufunga goli hata moja katika mechi ya nyumbani na ugenini.
View attachment 1200607View attachment 1200608View attachment 1200609View attachment 1200610
Mbona hii ni balaa sasa?Emerson kaumia huko Kwenye game ya Azuri inayoendelea injuries zinaongezeka
Yeuuuwiii[emoji119][emoji119]Emerson kaumia huko Kwenye game ya Azuri inayoendelea injuries zinaongezeka
Ndio mdogo mdogo inaanza hivyo, Hata De Gea alimnyang'anya Casillas namba moja kidogo kidogo sio kwa haraka namna hiyo. Kwa hiyo wewe poa na wivu zako utazoea tu!Nawahakikishia kwa Asilimia 101% Kepa hatomueka bench De Gea
Kugaiwa game ya juzi aanze haimaanishi kuwa ndiyo Kipa Namba moja.
Hata Pepe Reina kuna game alikuwa akigaiwa aanze mbele ya Casilas then De Gea
mpira haupo hivyo kaka daaaahhhh yaani kama ingekuwa hivyo hawa kina wilshare,lallana,dyabala,na wengine wengi wangekuwa world class player leo hii...wewe panga na wakati utasema ,tutakuja kukumbushana hapahapaBado ungeweza kutoa maoni yako bila ya kejeli na dharau. Huyu ni mdogo anakua. Luiz hakufikia alipofikia overnight, naye alikuwa akakomaa with time. Tomori kwa walioona uchezaji wake in the near future atakuwa better than Luiz na hii sio joke ni facts. Ila kwa wasiomfuatilia kama wewe mtaendelea kumuona takataka
Dybala naye umemuweka kundi moja na kina Lallana? Bro u seriousmpira haupo hivyo kaka daaaahhhh yaani kama ingekuwa hivyo hawa kina wilshare,lallana,dyabala,na wengine wengi wangekuwa world class player leo hii...wewe panga na wakati utasema ,tutakuja kukumbushana hapahapa
Emerson kaumia huko Kwenye game ya Azuri inayoendelea injuries zinaongezeka
Ndio mdogo mdogo inaanza hivyo, Hata De Gea alimnyang'anya Casillas namba moja kidogo kidogo sio kwa haraka namna hiyo. Kwa hiyo wewe poa na wivu zako utazoea tu!
Kadri tunavyokua tujifunze kuwa na akiba ya maneno ktk kila jambo.De Gea atarithiwa na Kipa ambaye yupo Academy ya Real Madrid
Ulikuwa sahihi King NgwabaNawahakikishia kwa Asilimia 101% Kepa hatomueka bench De Gea
Kugaiwa game ya juzi aanze haimaanishi kuwa ndiyo Kipa Namba moja.
Hata Pepe Reina kuna game alikuwa akigaiwa aanze mbele ya Casilas then De Gea
Na Mtakavyoelekea championship ,uje na mboyoyoWatu wanaongea na kitu mkononi wamebeba. Acha kubwabwajaView attachment 1202754
Kumbe unabishana? Ndio maana hunaga hojaWe nenda kajibizane na Tottenham, Everton, Wolves, Leicester ndio level yenu mzee, hii level ya Uefa Champion, Europa, Maepl sisi tunabishana na Liverpool na Man u.
ACHA KUTUPOTEZEA MUDA FUKO WEWE.
Hahahah mbona unapaniki ,kama huwez kupambana ,siutulie tuTatizo lako unabwabwaja Aston villa ina makombe 20 Chelsea 24. Fuko wewe
Hivi we jamaa huchoki? Huoni aibu mzee? Ni mara ngap Kepsa kakuprove wrong na unakimbia husemi chochote kwake. Rekodi za msimu uliopita alikua top three ya magolikipa ambapo hata Leno hakuwemo. Sasa msimu huu umeanza naona kampeni imeanza tena. Naomba uje umfanyie takwimu mwisho wa msimu pia usimsahau na LenoGoalkeeper pekee mwenye ballon D'or Levy Yashin aliwahi kusema mwaka 1966; "a good enough goalkeeper is measured through his task which is only goalkeeping. "
FIFA hawajaangalia kigezo cha clean sheets as a priority bali wameangalia total saves pamoja na save percentage (%) kwa ujumla ambazo ndio moja ya task kubwa kwenye goalkeeping.
-
Wengi wetu mashabiki wa Chelsea tunaamini kwamba Jan oblak na De gea wamependelewa kwa kuwa hawakushinda kombe lolote last season tofauti na kepa kitu ambacho si kigezo cha FIFA kilichotumika kuwapata.
.
kama mnayo kumbukumbu nilishawahi kusema kepa sio golikipa bali tumeuziwa muanzisha mashambulizi..
.