Tangu lini fisi akamshauri swala namana bora ya kumlinda mtoto wakeMambo kadhaa niliyogundua kwenye mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Leicester City.
.
.
Yule beki wa kati wa klabu ya Leicester City, Caglar Soyuncu, ni moja ya beki mzuri ana umbo zuri la kucheza mpira ya juu Giroud, na Abraham, walikuwa wanapata wakati mgumu sana kucheza mpira ya juunina asilimia 80 anaweza kuziba pengo la Harry Maguire.
.
.
Tangu msimu uliopita apewe timu Brendan Rodgers, ni mwalimu wenye falsafa ya kuchezea mpira kumiliki Leicester kutoka kwenye kucheza mpira direct football mpaka kwenye mpira wa possession football amenikumbusha alivokuwa akihifundisha Swansea ikapewa jina la Swansealona.
.
.
Kipindi cha kwanza Brendan Rodgers, alificha makucha yake kucheza kwa tahadhari kubwa na kuonekana na kumuacha Jamie Vardy, peke yake nyuma kama anazurura vile.
.
.
Maddison, yule anaevaa namba 10 wa Leicester City, ni mchezaji mzuri wenye spidi nguvu ana uwezo mkubwa ngome ya Chelsea, ilikuwa inapata wakati mgumu sana kumzuia.
.
.
Willian, bado ajawafiti ametoka majeraha mechi ilikuwa ina kasi sana muda mwingi alikuwa anachelewa kufanya maamuzi pale anapokuwa na mpira.
.
.
Kumtoa Jorginho, Frank Lampard, alifeli alikuwa anatuliza timu akiwa na umri kumuingiza Kovacic, maana yake anakwenda kuongeza nguvu ya kushambulia na kuwapa upenyo Leicester City.
.
.
Zouma naona anazidi kubadilika Siku hadi siku zinavosogea tofauti na mwanzo anaweza baadae huko mbeleni kuwa tishio.
.
.
Mwisho Lampard, unahitaji uwe na plan B kuanzia dakika ya 70 wachezaji wa Chelsea karibia wote walikuwa washachoka hii huenda ikakugharimu.
AROON
Hata mimi niliona kama ujuha kwa sababu yote yalikuwa matokeo possible, huyo angekuwa msoma nyota wateja wangemkimbiaWewe Jamaa ni wa ajabu sana. Hata Chelsea ingefunga si umesema? Hata ingefungwa, si ulisema? Maana mpira una matokeo matatu.
Tulia. Huu ni mwanzo tujipe muda
Hv vitu ukiwa Liverpool huwez kukutana navyo kabisa yaan ulipe hela yako pale anfield halafu uwe na muda wa kuangalia pemben wakat kina mane wanatufurahisha kule mbeleMashabiki wakaamua kuzichapa wenyewe uwanjaniView attachment 1184845View attachment 1184846View attachment 1184847View attachment 1184848
Pukki mzuri ila timu yake iko vulnerable kwa silly mistakes, tutawacontrol tu hakuna njia nyinginePukki Hana mzaha mkuu nimemcheki Jana mh cjui
What's wrong with Kepa? Ulitaka afanyeje kwenye ile header?
Mechi ya pili hii Kepa hajafunga goli hata moja. #KepaOut#OllachugaOcOut |
Ndio tatizo lenu ,wengine ss ni mashabik na wachambuz huru,na tunaangalia mipira yoteTangu lini fisi akamshauri swala namana bora ya kumlinda mtoto wake
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....
Braza mambo yanaendaje hapo uingereza
Waache Haters walete dharau lakini sisi Chelsea tunajivunia kuupiga Mwingi tu hata kama hatushindi.
Lampard ni Gineus wa Pressing kuliko kocha yeyote wa EPL.
Mbona msimu huu timu zitatukoma kwa Kupress.