Uko sahihi kabisa, ila naona makocha huwa wanamchagua mtu kulingana na anavyofanya kwenye mazoezi. Labda Tammy kufanya vizuri kwenye mazoezi ndipo akamuamini. Ile penalty alipiga bila ya confidence yeyote
Sio mitatu, nashindwa kuielezea Chelsea ya mwakani ikiwa hivi hivi. Mwaka mmoja wakishapata uzoefu watakuwa moto hatari sana. Thanks to the ban, imeipa Chelsea nafasi ya kuvitambua vipawa vya academy
Mbona jana hizo pass zimepigwa sana?Zouma udhaifu wake hayupo sharp kwenye kutoa pasi za kwenda mbele na kumark kwenye ukabaji. Akipewa pasi anarudisha kwa kipa au kubutua. Rudiger pasi fupi fupi za golini hazimpi presha
Lampard alimchagua Tammy kwa sababu ya Convidence, ameeleza hiyo baada ya mechi na kumsifia kwa hilo. Anasema mchezaji yeyote anakosa penalty, muhimu kwake ni ujasiri wa Tammy inatosha
Arsenal fans wangemuona dogo jana sijui sasa ivi sura wangeweka wap.. Hawamuoni wanakuja kulopoka lopoka humu.Ukweli ni kwamba Kepa ni kipa bora ktk umri wake huo na ndio maana ana maadui wengi
Mkuu ukiachana na hayo VVD jana kafanya sana kazi ya kuokoa. Katimiza vizuri wajibu wake jana.Beki bora gani, VVD jana kamkumbatia Tammy utadhani ilikuwa ni mchezo wa mieleka, sijawahi kumuona beki bora duniani kama VVD anatumia mikono kuokoa mpira kwa kumkamata kwa mikono mshambuliaji. Ndio maana nasema Tammy an Mount wakishazoea EPL, hao akina VVD sio kitu watakuwa wanapitwa kama Lori la mkaa
Arsenal fans wangemuona dogo jana sijui sasa ivi sura wangeweka wap.. Hawamuoni wanakuja kulopoka lopoka humu.
Lakini uwezo wa wachezaji unatofautiana. Kwenu kule akikosa Mane, au Boby au VVD tofauti inaonekana
Nilisema humu Chelsea ndo timu ya viungo bora nyuma ya Man city. Hilo linazidi kujionyesha
Ni kwamba mlichokutana nacho sicho mlicho tegemea na hamkufhani mechi ingefika matuta. Hata sisi hatukutegemea mpira utakua vile swala la kuchukua kombe kwenye penalty hiyo ni bahati inamtokea yoyote. Tunachoongelea hapa ni kwa jinsi Lampard anatuonyesha hata ukiwa na resources chache unaweza kuzitumia kupata product nzuri kwa hiyo kinachoendelea hapa jukwaani ni kudiscuss process ya resources zinavyofanya kazi kuelekea kupata products. So kwa sasa ni sawa na kiwanda kimeanza kuzalisha bidhaa lakin kasi ya uzalishaji si kubwa akin haikatishi tamaa yote ni kwasababu ya minimum resources.Mtabakia kusema tu tumecheza vizuri bana mwisho wa siku watu wabnachukua ndoo na piont 3 wanasepa na bado kwa Leicester tena kauli itakuwa hivyo hiyo Tumecheza vizuri bana.
Arsenal fan ndio wanaoongoza kumponda Kepa. Aroon na wenzake wanalijua hili.Hivi kwanini kila munapokosolewa au kusemwa vibaya hamutujibu sisi wasemaji vibaya badalayake munajibu kwa kuwaponda Arsenal Fanboys?
Arsenal fan ndio wanaoongoza kumponda Kepa. Aroon na wenzake wanalijua hili.
Mataputapu[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa walio angalia mpira huyu kijana mnamzungumziaje?
Anazidi kuwa peove wrong mataputapu yanayomponda.View attachment 1181809
Kwa nini isiwe jambo Dogo mkuu. Game ilikuwa tough pande zote ..Asiyekubali kushinda si mshindani.
Hongereni, maana kutoka kwa matuta dhidi ya Liverpool si jambo dogo.
Yea inawezekana ikawa ivyo ila kwenye penati zinazoamua nani awe bingwa ..itakuwa ni risk sana ...ila ni mpango mzuri anafanya na itafaa kuwapa confidence madogo..Sema Lampard kuna kitu anajenga kwa hawa madogo ambacho kitakua na msaada sana. Jiulize Azpilicueta, Pedro, Kante wote hao walikua hawajapiga lakini kawapa madogo Mount na Abraham wawe moja ya wapiga penalty.
Miaka mitatu watakua siyo hawa tena.
Ni kweli na ukicheki vijana wanajituma sana ..Lampard ata leta kitu flani ndani ya EPL kuwaamin Young player ..kitu ambacho utamaduni wa hizi timu kubwa hauna..Hawa vijana akina Pulisic, Tomori, Tammy, Mount bado wanakuja CHO, RLC na Reece, wapeni muda tu wazoee EPL mtapata raha mashabiki wa Chelsea
Ata mimi niliwaza ivyo kabisa ..ila kaputeini some time anakwamaga ..yeye akishaweka mpira tu ata hawazi wala kumwangalia kipa anapiga unastukia goli [emoji23][emoji23][emoji23]Hayo ndio yalikuwa mawazo yangu aisee
Angalau kwa Mara ya kwanza umeandika kitu ninachoweza kukiunga Mkono