Aaaah ndo ligi imeanza hiyo pole sana kwa yaliyokukuta leo..................ngoja tuone utawala mpya
Lete news za mpira bana chichi kwetu hakuna umeme. Umetualika then uko kimya.
naona jamaa wamebahatisha bao moja! lakini uwezekano wa kurudi upo
Ni macho yangu au naota????? Koz naona scoreboard inaonyesha 1-0..... Anyway Mpira dakika 90........na hapa ndo kwanza nimekuta game ni dk ya 30.... So watarudisha tu... Au vp Piss- ant.......
Mmemwona Gervinho ndani ya Bridge aki-enjoy footy?! Kaona Emirates uzushi bora atie timu darajani....there's only one team to watch in London, it plays in Blue!
Wacha kujikomba komba bana khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee jukwaa la mafioso hili.
Kumbe ndo maana huwa unakimbia jukwaa lako .............
Wacha haya maloloso mengine lete habari za soka bana mmefunga magoli mangapi? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mpaka hii ligi inaisha kichwa cha bwana mdogo Andre Villa Boas kitakuwa kimejaa mvi
Sasa umejua kwanini? I'll bet my last breath siku huyo jamaa akiwa jukwaani kwake live!
Kumbe ndo maana huwa unakimbia jukwaa lako .............
Hatujafunga, WBA wanaongoza 1-0!
Anachohitaji ni kupata wachezaji wa kumchezesha Torres. Playmaker na wingers will do us a good business.
Hamna Wingers and a playmaker???? Really????? Is this reason has anything to do with the results so far?????? Dont worry PISS-ANT.... U said earlier that lets wt n c how how good u gona play 29t......oooooooooooohhh.........Drogba will do S'thing may be..........
Sasa tunatakiwa kushinda!!
To be honest Chelsea hatuna quality wingers kama ilivyokuwa kipindi cha Robben na Duff....playmaker.?! Lampard sio playmaker, ni mzuri kumaliza kuliko kutengeneza.
Aaaaaah unialike wapi wakati wewe huna hata box hapo emirates...............sawa bwana ila mimi theater of dreams inanisuuza moyo karibu.Kuna mechi kubwa kama Barcelona na Arsenal last season rudi nyuma kaangalie kama nilikuwa jukwaani au la? Wacha umbeya, mkubwa wewe sasa ..... ...... ...... .... kama nipo jukwaani nipo kama sipo sipo whats the big deal?
Mkuu mimi sio shabiki kama wewe, ni member wa Arsenal football club na mechi zote za nyumbani nipo Emirates kuangalia vijana kama ada. Chacha wewe ulitegemea niwe hapa nakenua na wewe kwa mtaji gani? Mtapata tabu sana kwa sababu Arsenal tupo kwenye program ya hali ya juu kuiweka timu pale inapotakiwa.
Usione media yote ya UK inagwaya kuandika kila siku habari za big team hujiulizi? Kama unaweza tuma maombi ili nikufikirie kukualika Emirates au unasemaje. Peas of ant alikataa kwa sababu ya aibu ya cowshed yao. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee