Mimi sina wasiwasi Chelsea kuingia top four sasa. Ngoja Kante awe fit, Ludiger apone. Sasa kwa moto alionao Pedro itakuwaje Odoi akirudi? Willian atacheza wapi? Maana Mount na Pulisic wako onfire
siku nyingine nitapiga mwenyew dogo hayuko seriousAbraham alikuwa na stress sana kuliko uwezo wake. Penalt ya mwisho si mchezo. Inahitaji confidence. Ukizingatia Liverpool walikuwa washaweka zote tano.
Abraham akaona awachomolee betriLampard ana maamuzi magumu sana nashindwa namna nzuri ya kumuelezea.
Jana Kepa haikuwa bahati yake tu ile penati ya Origi na kuna ingine alikuwa anachomoa kabisa.Washambuliaji bado sana. Hawana timing positioning wakati wa mashambulizi hasa za kross
Jana Kante asingecheza tungepwaya sana
Kwenye penalties Lampard angemwingiza Kabalero huyu jamaa angepangua sio chini ya 2
Hahaha mze baba acha mambo yako bana ..gemu imekwisha na mulishinda mengine ya nini tena[emoji23][emoji23]Abraham akaona awachomolee betri
.then kaboom View attachment 1181735
Ndio kiongozi hongereni sana ..najua hamkutegemea kushinda kwa tabu kiasi icho ..may be mulitegemea mteremko kama aliyopata Manure ..ila uo mpira bana Ku assume kabla ya mechi ndo haifai..Poleni sana, mwisho wa siku mshindi ni mmoja anahitajika.
Wakati mwingine tena.
Mulijipa matumaini mungeshinda sio chini ya goli tatu ..mpira hauko ivyo kiongozi..Kweli tumeona Kepa ni nani
Msimu mtajipiga sana ban,huwez fananisha ceballos ,toreira na mido zako hizo, mechi na man u pogba anagongeana pass hadi goli utasema una kiungo ,ww una kante tu na yeye ameshaanza kuwa muhuzuriaji mzuri wa hospitali ,msimu huu nafas ya 10 ni Yenu
Msimu mtajipiga sana ban,huwez fananisha ceballos ,toreira na mido zako hizo, mechi na man u pogba anagongeana pass hadi goli utasema una kiungo ,ww una kante tu na yeye ameshaanza kuwa muhuzuriaji mzuri wa hospitali ,msimu huu nafas ya 10 ni Yenu
Lakin pia Tomori hakuharibu alimama vizuri kwa kujiamini. Tunivunie kilichopo yajayoyanafurahisha.Sana, wakati anamuingiza Tomori sikuelewa aisee. Akachomoa watu experience akaweka Tammy na Mount. Naelewa kwa nn Luiz aliamua kuondoka
Aibu yako hata wewe..Mheshimiwa mgeni rasmi hao unaowaona pale ni mashabiki wa Chelsea wamesogea karibu na betri .View attachment 1181704
Nilijua anamallizia azplicueta penatiya mwishoJana Kepa haikuwa bahati yake tu ile penati ya Origi na kuna ingine alikuwa anachomoa kabisa.
Mim sjafurahishwa na kitendo na dgo Tammy kupewa apige wakati Luna wakongwe na wazoefu wa penati zenye presha kubwa kama ile. Tammy bado hana uzoefu na big competitions ndo kwanza ana anza..
Ila kwa pamoja sisi sote ni Chelsea tukubali tumeshindwa na Lampard pia Apache kukaza roho kiasi icho, anafanya maamuzi magumu yule kocha..
Bado tuna imani Chelsea inaweza kuwa bora sana Siku za mbeleni..
#KTBFFH..
Cha kushangaza hata Swalehe anamfurahia Lampard sembuse baba mtu.Abraham akaona awachomolee betri
.then kaboom View attachment 1181735
Kivip tena mkuu kwan mlishinda ngapi janaAibu yako hata wewe..
Yeye ci ndo kaputeiin mkuu itakuwa ndo alichagua Dogo apige..Nilijua anamallizia azplicueta penatiya mwisho
Acha ushabiki maandazi
HahahaCha kushangaza hata Swalehe anamfurahia Lampard sembuse baba mtu.
Bado Loftus namkubali dogo tuko vizuri ,ni muda kidogo watatuelewa ila wachezaji wetu wanapata injuries kwa urahisi haiwezekani Odoi,Loftus,N'golo,Willian,Rudiga wote wamepata injuries at the same kuna jambo haliko sawaMimi sina wasiwasi Chelsea kuingia top four sasa. Ngoja Kante awe fit, Ludiger apone. Sasa kwa moto alionao Pedro itakuwaje Odoi akirudi? Willian atacheza wapi? Maana Mount na Pulisic wako onfire