SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Abraham alikuwa na stress sana kuliko uwezo wake. Penalt ya mwisho si mchezo. Inahitaji confidence. Ukizingatia Liverpool walikuwa washaweka zote tano.
Hii ni week ngumu sana kwetu ..tumeanza na vipigo ila hope tutakaa sawa tu..
Chelsea halisi hatuna imani na Super Frank Lampard.
Muda wote ulikuwa wapi ..acha mbwe mbwe ..hongeraaInstabul is another Anfield
AC Milan fans will tell you
Akina ngwaba wamezimia muda huu. Aroon mwenyewe kajificha huko. Hajakatiza hapa tangu mpira umeanza.
Lampard tumpe misimu 3 ajenge timu anayoitaka. Kila mtu atatupenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Wakienda penalt ushindi kwa Chelsea.
Me sijui hata walifikilia nini kumpa mtu asiye mkomavu penalty ya mwisho angepewa ya pili au ya tatu nina uhakika pressure ingekuwa chini na angepata.Abraham alikuwa na stress sana kuliko uwezo wake. Penalt ya mwisho si mchezo. Inahitaji confidence. Ukizingatia Liverpool walikuwa washaweka zote tano.
Yaani acha kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Ndugu Abraham akachomoa battery
Hongera sana kiongozi, japo muliexpect kulisha goli kama za netball ila kwa mbinde mumeshinda hongereni [emoji41][emoji41]Ollachuga
naomba usijiue ndugu yangu
Bado tunakupenda broh
Mpira tu huu mwanangu [emoji28][emoji28][emoji28]
Hiyo hiyo. Sema waliharibu kumpa dogo penalt ya mwisho.Chelsea ipi mkuu??? Hii hii ya Kwappa Azziburriwaga???
Asante kiongozi dahHongera sana kiongozi, japo muliexpect kulisha goli kama za netball ila kwa mbinde mumeshinda hongereni [emoji41][emoji41]
Mjiue
Chelsea halisi hatuna imani na Super Frank Lampard.
From the bottom of my heart
Lampard akipewa nafasi ni kocha mzuri sana huyu!
Apewe tu muda kuandaa team yake
Liverpool is too much kwa Chelsea kwa sasa
Muda wote ulikuwa wapi ..acha mbwe mbwe ..hongeraa
Chelsea haina utaratibu wa kumpa Kocha mda wa kuandaa timu. Ni timu inayo hitaji mafanikio kwa haraka sana ukizingua unatimuliwa kama mbwa koko.
Abra amechomoa bettriii duuu lakini sio mbaya faina ilikuwa tamu sana na wanaotubeza waendelee tu ila wajue kabisa kupigwa na manure sio kigezo cha Chelsea kuwa kwasukwasu mwisho Wa msimu naiona the blues ikiwa kwenye top four .....Chelsea ni fireHiyo hiyo. Sema waliharibu kumpa dogo penalt ya mwisho.
Me sijui hata walifikilia nini kumpa mtu asiye mkomavu penalty ya mwisho angepewa ya pili au ya tatu nina uhakika pressure ingekuwa chini na angepata.
Ile angepewa Barkley.
Mazingira ya msimu huu ni tafauti
Chelsea bado wana timu nzuri sema mechi ya Man u kocha ndio alizingua kwa kuanzisha kikosi dhaifu. Naamini inaweza kuwa na msimu mzuri endapo kocha atakuwa akipanga kikosi imara.Kwel chelsea wanacheza mpira mzur japo wamefungwa sina deni kabisa na timu yang.
*malafyale* ongera na endelea kupata shampa
Penalty hazina mwenye nazo hata wazoefu wanakosa