Yaas Jmapili ntakua naisupport leicester city pia ...hapa AYOZE PEREZ, hapa TIELEMANS, hapa VARDY, pale NDIDI, wewe lazima wakalishwe tu.
Leo tuna Kajimickey Mouse cup tunakwenda kukipigia Jaramba... Vijikombe hivi vya Mbuzi ilikuwa wagaiwe tu Chelsea haina haja ya kuchokesha wachezaji wetu.
HahahhahaaaaaaaaaaaaaaaLeo tuna Kajimickey Mouse cup tunakwenda kukipigia Jaramba... Vijikombe hivi vya Mbuzi ilikuwa wagaiwe tu Chelsea haina haja ya kuchokesha wachezaji wetu.
Mkuu fuatilia tena kiundani zaidi. Kosa haijalishi umefanya mara ngap adhabu ni moja tu. Haya ni mambo ya kisiasaChelsea amevunja sheria hii mara 29
City mara 2 tu tena kabla ya marekebisho kuwekwa wazi.
Nadhan ndio sababu.
Naijua mkuu ,na naweza kukueleza kwann PSG na man city hawafungiwi na UEFA licha ya kuvunja sheriaHilo limekaa kisiasa wewe acha porojo bhana. Man City analipa 350k shughuli imeisha hapigwi ban lakin sisi tunachukuliwa serious kwa sababu ya boss.
Nenda kasome historia ya Roman Abramovich The Bold kaiandika. Mtafute humuhumu JF.
Lembu tulia weye ,nilikuwa na project kipind kile ilishaisha ,mm sijipigagi ban ,ila nakaaga pemben nawaacha mbwabwajeThe opposite is true, Arsenal maji yakishachafukwa unajipiga ban ukitokea visingizio debe, mara majukumu ya kazini, mara nilikuwa field
Newcastle kawapa moja, hao wengine ni suprise
PSG anavunja sheria na anaachwa kwakuwa anaidhamin UEFA kupitia bein sport na mmiliki wa PSG Nasser anaingia kwenye camitee ya UEFA ,vivyo mansoor wa macity wana makampuni yanayoifhamin UEFA hivo si rahis kufungiwa ,Mkuu fuatilia tena kiundani zaidi. Kosa haijalishi umefanya mara ngap adhabu ni moja tu. Haya ni mambo ya kisiasa
HahahaWacha nishuhudie mtu akila 4 nyingine leo.View attachment 1181512
Hapana mkuu uo ni mtazamo wako. Mimi pamoja na fans wote wa Chelsea bado tuna imani na Lampard ..ata fanya mengi ya kuwashangaza tu ..
Leo Kante hayupo, nakupa pole mapema kabisa. Liverpool atakupa kipigo kimoja kibaya mno.
Lampard amerithi timu wakati mbaya sana,atafukuzwa asubuhi kabisa.
Tulia wewe bebeni kwanza Europa ndo uje na ayo maneno yako ya kwenye kanga..Juzi mtoto mzuri Ollachuga Oc kanipigia simu si nikaanza kumuimbisha mashairi kama hivi...
Baby ujue nakupenda, kama matta anavyoipenda man u,
Linda letu penzi kama de gea anavolinda nyavu,
Ufiche zetu siri,kama Maguire alivozificha fowadi za Chelsea,
Vishoka wakimbie,kama luiz alivowakimbia Chelsea.
Usiwe na tamaa na vitu,kama hazard
Usiwe tapeli wa mapenzi,kama Bilbao walivoitapeli Chelsea,
Wapambe wasikupelekeshe,kama zuma alivokuwa anapelekwshwa na Rashford,
Baby usiwe mzembe,kama kepa na magoli,
Baby uwe mtiifu kwangu,kama mpira na pogba,
Tumia akili kwa kila maamuzi,usitumie nguvu kama zouma
Baby nimelimiss penzi lako tamu, kama assist za pogba kwa Chelsea
Naahidi ntakutunza kama bissaka na rasta..mwaaah[emoji3][emoji3]View attachment 1181112