Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Inapendeza unapopata nafasi ya kucheza Super Cup kwa kumfunga Arsenal nyoronyoro 4-1 pale BAKU endeleeni kudanga team za watu ,maisha yako yote hautashuhudia Arsenal ikicheza Super Cup
Kesho tunaweka kambi humu,jiandae kumwaga mapovu
 
Mkuu sisi bado tupo imara sana ..ngoja tuunde timu ..wataelewa tu
 
Ni asenyoo pekee wehu walio toa mipesa kwa pepe ambaye hajawa proved kwenye epl... Huku mnakataa kuweka mkwanja kwa Zaha.... [emoji23][emoji23][emoji23]
Uyo Pepe dream yake ni kucheza Chelsea ..wacha apate uzoefu kwanza uko msimu ujao anatua darajani..
 
Hili jukwaa fans wa ze buluzi wanachungulia kama wana aga maiti....

Wakifikiria kesho kuna msala mwingine[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Zuma anachomoa betri tena kesho
 
Ollachuga OC toka huko kwenye Jukwaa la Mapishi njoo hapa kwa Wanaume.

Yani nimekukuta na post hii kwenye Jukwaa la Mapishi ↓↓
Mkuu acha izo mambo[emoji41][emoji41]

Najua kesho unajua kwamba utashinda lakini naweza kukupiga ata kwa penati
 
Msimu huu humu kutatawala vilio na kusaga meno,tunatarajia kufikia mwez wa 12 muwe mnaelekea kushuka daraja ramsi
 
Ila Arsenal fan boys wanajua kufurahisha. Leo Jorginho na Kovacic wanaitwa mizoga wakati huo wewe kwenye timu yako una Toreira, Cebalos na Xhaka. Dunia haiishi vituko
 
Ila Arsenal fan boys wanajua kufurahisha. Leo Jorginho na Kovacic wanaitwa mizoga wakati huo wewe kwenye timu yako una Toreira, Cebalos na Xhaka. Dunia haiishi vituko
Msimu mtajipiga sana ban,huwez fananisha ceballos ,toreira na mido zako hizo, mechi na man u pogba anagongeana pass hadi goli utasema una kiungo ,ww una kante tu na yeye ameshaanza kuwa muhuzuriaji mzuri wa hospitali ,msimu huu nafas ya 10 ni Yenu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…