Wewe ni kiazi haswa, hivi Rudiger, kante, wilian, batshwai na odoi, Kennedy wakipona mbwa koko gani ata mtisha Chelsea..?Mm nasema msimu mtapigwa hadi mchakae ,sisi wachambuzi wazoefu tunaiona Chelsea ikifurukuta lakini inakata roho , sioni mkipata hata point 1 kwa top 6,
Naona Everton, Watford ,astonvilla , Leicester wakiwabonda
Kufikia krismass Mtabadili kocha lkn wachezaji ni hao hao ,
Mtapigika sana msimu huu
Mapenzi upofu mkuuAsee hawa jamaa wanashangaza kweli! Mtu anatutuswa nne bila alafu anasema amecheza mpira kweli. [emoji23] [emoji23]
Wewe kweli ndio kiazi, hao deadwood ndio wakuwatishia watu, sasa nakwambia walioanza kwenye kichapo pale OT ni bora kuliko hao wagonjwa unaowasema, ODOI ana maajabu gani zaid ya media kumpa airtime?Wewe ni kiazi haswa, hivi Rudiger, kante, wilian, batshwai na odoi, Kennedy wakipona mbwa koko gani ata mtisha Chelsea..?
Wanazungumzia kule kukimbiakimbiaMpira gani wa kueleweka mtu unapigwa nne bila
Chelsea haina uwanja? Niliona kuna uwanja wanatengeneza wenye utafunguliwa hivi karibuni tu.Hahahhaha itakuwa yakukodi ,maana hata uwanja ni wakukodi
Willian anayomagoli matano yenye Epl ,Europa ,FA ,Auba na Lacazete wanayo magoli 50+ hata Top four imewashinda ndio tofauti ya wachezaji na wachekeshajiWewe kweli ndio kiazi, hao deadwood ndio wakuwatishia watu, sasa nakwambia walioanza kwenye kichapo pale OT ni bora kuliko hao wagonjwa unaowasema, ODOI ana maajabu gani zaid ya media kumpa airtime?
Willian ana msaada gan na juzi kafikisha miaka 32 kama sikosei, na hajawahi kuvuka magoli matano kwa msimu., huyo batswayi ndio wakumtishia MTU?
Hapo mmebaki na rudiger lkn anacheza na nani? Anacheza na Zuma au Christensen , vipigo vipo pale pale
Timu yetu imekwea pipa kulekea instabul tuendelee kudumisha sala naamin kwenye kombe hawatatuangusha
Reference. Baku night vs asernal
Mashabiki wa Man U wanajitambua wasio jitambua ni wa Arsenal ambao Makombe walisha sahau kazi kushiriki tu na kutupigia keleleNajiondoa kwenye huu uzi rasmi wabaki Arsenal na Man u wanapenda kusutuna kama wamama wa Tandale
HahahahOllachuga OC toka huko kwenye Jukwaa la Mapishi njoo hapa kwa Wanaume.
Yani nimekukuta na post hii kwenye Jukwaa la Mapishi ↓↓
Vitoto vinapiga punyeto hivi hatariiii [emoji28][emoji28][emoji41][emoji41]Timu inaenda Istanbul for super cup against LiverpoolView attachment 1179663View attachment 1179664View attachment 1179669
Aron nmeangalia profile yakoHahahhaha itakuwa yakukodi ,maana hata uwanja ni wakukodi
Willian anayomagoli matano yenye Epl ,Europa ,FA ,Auba na Lacazete wanayo magoli 50+ hata Top four imewashinda ndio tofauti ya wachezaji na wachekeshaji
Mashabiki wa Man U wanajitambua wasio jitambua ni wa Arsenal ambao Makombe walisha sahau kazi kushiriki tu na kutupigia kelele
Mnaanzaga kwa mbwembwe halafu mnakuja kiushia namba 6.Vitoto vinapiga punyeto hivi hatariiii [emoji28][emoji28][emoji41][emoji41]
Van djik anavitaman balaa
Ndugu acha kuota bosi yupi asiyejulikana ulaya ,Team inayoitwa Arsenal haijulikani Ulaya acha kuota ni ka team ka england ,ulishaona mfanyakazi anajulika kuliko bosi acha kutuchefua kutulinganishwa na team ambayo haipo seriousIko siku hawa Mabosi wenu wa London (Arsenal) utawapigia magoti.
Aliyepata nafasi alikutoboa 4-1 BAKU nafasi zinakuja kwa team zilizo serious tu sio midebwedo kama arsenal.Wewe utazeeka kamwe hautaiona EUFA SUPER CUP ,Makombe hayaji kwa kutajataja majina ya wachezajiMechi zingine sio lazima zichezwe, kwanini Uefa wasimpe liverpool hilo kombe waokoe muda na fedha?