21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,309
- 2,861
haina, haja ya kuwaquote watu kama hao ni kuwapotezea tuMwanaume unaona raha kufurahishwa na mwanaume mwenzako.
Huu mjadala tushaufunga kitambo kwamba best goolie in EPL Allison, Kepa na Ederson kulingana na statistics. Nimekufurahisha kwenye fainali bdo kuna watu wanataka kufurahishwa zaidi. Teh
Mo Salah vs Edmore Sibanda(Zimbabwe) Total Shots 7, Shots on target 4..no goal[emoji122]Mwanaume unaona raha kufurahishwa na mwanaume mwenzako.
Huu mjadala tushaufunga kitambo kwamba best goolie in EPL Allison, Kepa na Ederson kulingana na statistics. Nimekufurahisha kwenye fainali bdo kuna watu wanataka kufurahishwa zaidi. Teh
Kepa ndani ya msimu mmoja toka amesajiliwa ana kombe moja tena mbele ya Ass anal.Mo Salah vs Edmore Sibanda(Zimbabwe) Total Shots 7, Shots on target 4..no goal[emoji122]
-
Mo Salah vs Kepa anazubaaga (Chelsea) Total Shot 1, Shot on target outside the box 1.. kamba [emoji28] kama haitoshi likachaguliwa goli bora la msimu kwa upande wa klabu ya Liverpool [emoji91]
UMEGUNDUA NINI?View attachment 1170162
Narlewa but lets get fun with them. Wanajua vizuri ila wanajitoa ufahamu tu.haina, haja ya kuwaquote watu kama hao ni kuwapotezea tu
Acha kupangia wenzako maisha mburura weweMwanaume unaona raha kufurahishwa na mwanaume mwenzako.
Huu mjadala tushaufunga kitambo kwamba best goolie in EPL Allison, Kepa na Ederson kulingana na statistics. Nimekufurahisha kwenye fainali bdo kuna watu wanataka kufurahishwa zaidi. Teh
"I haven't seen enough from him to be honest."Kepa ndani ya msimu mmoja toka amesajiliwa ana kombe moja tena mbele ya Ass anal.
With diagrams illustrate the statement. 12.5 Marks.
Hii hoja huwa hamuijibu. Kila msimu mnasema subiri msimu uanze. Mwaka jana ilikua ivyo ivyo na mwaka huu ni ivyo ivyo. Nyie lini? Nimekufurahisha EL final bado hujaridhika? Mnamponda sana Kepa na bado anawaumbua. Mzee huchoki?Mbona povu ,mm nimefurahi maneno ya HIGUITA , wewe povu la nini?
EPL inaanza soon , tutaelewana vzr , kwanini unitolee povu kisa kufurahi maneno ya Gwiji HIGUITA??
Sajili nying kama zipi mkuu? Kuna usajili wowote tumefanya msim huu? Au ulimaanisha manure!!!
haina, haja ya kuwaquote watu kama hao ni kuwapotezea tu
We jamaa unatabia ya umbea mno huu Ni uzi wa Chelsea na ww sio fan wa the blues huku unakuja kutafuta nn?? Utavishwa DelaHii ni orodha fupi ya save percentage msimu huu premier league:
1)Alisson Becker - 76.19%
2)Hugo Lloris - 73.64%
3)Bernd Leno- 72.81%
4)David De Gea- 71.84%
5)Ederson Moraes - 69.57%
6)Kepa Arizaaga- 66.67%
Anatokea mtu mzima na minywele yake ya kifuani anakuambia tusimlaumu kepa kwenye ile game ya juzi dhidi ya Salziburg kua alifanya saves nyingi za hatari.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mpira ukiujua bwana haukusumbui
#TumepigwaTumepigwaTumepigwa [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1170178
We jamaa unatabia ya umbea mno huu Ni uzi wa Chelsea na ww sio fan wa the blues huku unakuja kutafuta nn?? Utavishwa Dela
Yaan unanizuia nisifurahi ? OK nachukia basi roho yako ifurahiMwanaume unaona raha kufurahishwa na mwanaume mwenzako.
Huu mjadala tushaufunga kitambo kwamba best goolie in EPL Allison, Kepa na Ederson kulingana na statistics. Nimekufurahisha kwenye fainali bdo kuna watu wanataka kufurahishwa zaidi. Teh
0.00/12.5. Rudi shule tena"I haven't seen enough from him to be honest."
"sijaona kitu chochote cha ziada kutoka kwake niwe mkweli."
[emoji121]sio maneno yangu ni maneno ya mkongwe Manuel Almunia mmiliki halali wa tuzo ya "Ricardo Zamora Trophy : 2001–02" goalkeeper aliecheza michezo 109, Clean sheets 43 na saves 238 kwenye Premier League.
Mimi na wewe ni nani hasa mpaka tupinge hatujalambwa kwa kepa..?
[emoji16]View attachment 1170174
[emoji3][emoji3][emoji3] sema furahi tu. Una muda mchache sana wa kufurahi kabla msimu haujaanza.Yaan unanizuia nisifurahi ? OK nachukia basi roho yako ifurahi
Kukukumbusha tu ni kwamba Rudiger hivi sasa tunavyoongea ni majeruhi[emoji3][emoji3][emoji3] sema furahi tu. Una muda mchache sana wa kufurahi kabla msimu haujaanza. View attachment 1170281
Kukukumbusha tu ni kwamba Chelsea tumepigwa ban ya kusajili ila ni Liverpool ndio wanatumikia ban hiyo.Kukukumbusha tu ni kwamba Rudiger hivi sasa tunavyoongea ni majeruhi
HahhahahaaaaaaKukukumbusha tu ni kwamba Chelsea tumepigwa ban ya kusajili ila ni Liverpool ndio wanatumikia ban hiyo.