Akil zao haziwez kuwa sawa maana wanajua anguko litakalowatokea msimu huu wa 2019/2020 litakuwa la kihistoriaHivi mashabiki wa chelsea hamjui mpira au ni makusudi mnawahesabia loftus cheek na hudson odoi kwenye first eleven wakati wana majeruhi ya mda mrefu odoi
Miezi 6 loftus cheek miezi 9 mpaka warudi uwanjani lampard ashafukuzwa
Hiyo aliyotoa ni sawa ya LiverpoolUmeshaanza kuchanganyikiwa mapema
Play 5/7
√Win 3
-Draw 1
×Lose 1
.............
Kijana mdogo unaanza kuwa msahaulifu mapema. Aya endelea kuhesabu kuanzia hapo.
Umeshaanza kuchanganyikiwa mapema
Play 5/7
√Win 3
-Draw 1
×Lose 1
.............
Kijana mdogo unaanza kuwa msahaulifu mapema. Aya endelea kuhesabu kuanzia hapo.
unakomaa na mtu aliyepewa cheti cha ujinga
Kutukana sio ustaarabu wa watu wazima, under 20 ndio wanaotukana ovyo tena wasiojua wanashabikia nini.Hicho Cheti Cha Ujinga aliyenipa ni Mamayako baada ya Kutumia ijinga wangu Nikamgonga.
Kuwa na Heshima na Watu wewe Mimi Sijawahi Kumvumjia Mtu heshima humu mitandaoni.
Huwa tunaleteana tu challenge za Kimitandao lakini sio Kuvunjiana heshima.
Hebu acha kunizoea Mimi nabishana na wengi humu kimasihara lakini sio kuitana majina mabaya na kudharauliana.
Hebu kuwa na adabu Bwanamdogo.
hahaha alisikika mlevi mmoja.Kwa top 6 nyie ndio mna kikosi dhaifu mtapigwa hadi mchakae
Kutukana sio ustaarabu wa watu wazima, under 20 ndio wanaotukana ovyo tena wasiojua wanashabikia nini.
Ukiweza kuwa mvumilivu kwenye ushabiki utastaarabika sana kwenye sekta zote za maisha
au sioHicho Cheti Cha Ujinga aliyenipa ni Mamayako baada ya Kutumia ijinga wangu Nikamgonga.
Kuwa na Heshima na Watu wewe Mimi Sijawahi Kumvumjia Mtu heshima humu mitandaoni.
Huwa tunaleteana tu challenge za Kimitandao lakini sio Kuvunjiana heshima.
Hebu acha kunizoea Mimi nabishana na wengi humu kimasihara lakini sio kuitana majina mabaya na kudharauliana.
Hebu kuwa na adabu Bwanamdogo.
Daah haya yanatoka wapi mkuu.. Huwezi kueleza hisia zako bila personal attack?Hiyo bangi unavutia matakoni wachezaji wa Kiingereza sio wa kuwawekea dhamana utakuja kumkataa mount baada ya mechi mbili tu subiri ligi ianze
Nenda jukwaa lako kaeleze hisia zako utasikilizwa.Nimezungumzia Matokeo ya Liverpool hapo na sio ya Chelsea
Naomba niwie radhi mkuu, ila wewe ni mmoja wa shabiki wa hili jukwaa unafanya wote tudharaulike.Ubingwa wa EPL ni wetu mwaka huu
Ndio ndio, amini kwamba!Ubingwa wa EPL ni wetu mwaka huu
Mkuu kwanza wewe ni fan wa timu gani? mbona kama unaweweseka hivi? Nan kasema Odoi na Cheek wanabebeshwa majukumu ya First XI? Lampard ndo alikuambia? Au ni mawazo yako tu? Wewe achana na Chelsea, sisi hatujafanya usajili wowote ule dirisha hili kubwa, kwa iyo tukiboronga ni sawa tu ( ingawa hatuamini ivyo) na tukifanya vizur tutawa prove wrong weng kama nyie mnatuchukulia poa. Kupanda na kushuka ni sehemu ya maisha ya club yetu pendwa. Wengi munaomba na mutafurahi sana Lampard akifail na akavukuzwa, iyo sisi atujalishi ..club imemuamini na sisi fans tumemuamini, kwani timu zenu uko Arsenal, Man u,(labda kidog Liverpool) zina nini cha kujivunia?Hivi mashabiki wa chelsea hamjui mpira au ni makusudi mnawahesabia loftus cheek na hudson odoi kwenye first eleven wakati wana majeruhi ya mda mrefu odoi
Miezi 6 loftus cheek miezi 9 mpaka warudi uwanjani lampard ashafukuzwa
Sajili nying kama zipi mkuu? Kuna usajili wowote tumefanya msim huu? Au ulimaanisha manure!!!Chelsea hukosea kwenye sajili nyingi
Hahaha vipi kuhusu Leno, Kepa ni level zingine bana best penalty saver ..Allison wa Liverpool kwa mbali ndo anaeza shindana na Kepa, tuliwapa Cerch mkashindwa mtumia, sasa mnalialia nadhani mngetamani Kepa angekuwa Arsenal lakini ndo ivyo imeshindikana. Kepa ni Leno watano na Degea kama watatu ivi ..Sio maneno yangu ni maneno ya Rene Higuita golikipa pekee wa Colombia aliefanya ile best Scorpion kick save..
Anasema...
"The most expensive goalkeeper that Real Madrid can't buy, Arsenal don't see him, Liverpool don't even know if he exist and that's who chelsea go and robbed much more money on"
-
Kwa haraka haraka tu kepa ameruhusu magoli 95% ya zile air balls(mipira ya juu) zaidi hata ya degea tunaemuita m'bovu msimu uliopita..View attachment 1165854
Tulia wewe mshamba, apo England golikipa mmoja tu ndo anayeweza kushindana na Kepa ambaye ni Allison, kama unabisha leta stats za makipa wote top six teams tuone kama Leno hatokuwa wa mwisho.Hahhaaaaaaaaaaa kepa bhana ,niliwaeleza humu wanabisha bora Higuita kasema
Wengi wanaichukia Chelsea kwa sababu imetoka kwenye timu ndogo na ndani ya miaka 15 ikazipindua wale waliokuwa wakijiita timu kubwa kwa sababu ya yale makombe ya mababu zaoMkuu kwanza wewe ni fan wa timu gani? mbona kama unaweweseka hivi? Nan kasema Odoi na Cheek wanabebeshwa majukumu ya First XI? Lampard ndo alikuambia? Au ni mawazo yako tu? Wewe achana na Chelsea, sisi hatujafanya usajili wowote ule dirisha hili kubwa, kwa iyo tukiboronga ni sawa tu ( ingawa hatuamini ivyo) na tukifanya vizur tutawa prove wrong weng kama nyie mnatuchukulia poa. Kupanda na kushuka ni sehemu ya maisha ya club yetu pendwa. Wengi munaomba na mutafurahi sana Lampard akifail na akavukuzwa, iyo sisi atujalishi ..club imemuamini na sisi fans tumemuamini, kwani timu zenu uko Arsenal, Man u,(labda kidog Liverpool) zina nini cha kujivunia?