Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #60,681
Man Utd mnamzidi idara ya kiungo tu kwa sasa hivi na tena muda wa kusajili bado
Ila yeye amewazidi sana kwenye Forwards (Talented Martial, Pacy Rashford, Juan Mata, Flop but once world class winger Alexis Sanchez)
Manchester United anatushinda sisi kwenye forward kwa kiwango kidogo sana na kama ukiangalia uwezo wa mchezaji moja moja. Kikubwa sisi bado hatuna target striker mzuri kama Rashford anavyoweza kusimama(Hapo ni kwa kuangalia msimu iliyopita, Sijui Abraham na Michy watakuwaje msimu huu).
Kiungo na Beki yao haitufikii hata kwa dawa, hata kidogo.
Emerson/Alonso Luiz/Zouma Rudiger/Christensen Azippilicueta.Defence ya Utd hiyo hapo chini ujionee mwenyewe
Kwenye beki yenu Luiz naona bado sana kwangu mi namchagua Bailly kama utasema nichague kati ya David Luiz na Eric BaillyView attachment 1148239
Pulisic, William, Odoi na GiroudKwa kiwango kidogo kivipi mkuu?
LUKAKU, MARTIAL, MATA, RASHFORD, SANCHEZ sasa naomba unitajie Forwards zenu za maana
[emoji23]Pulisic, William, Odoi na Giroud
Emerson amzidi Luke Shaw mkuu?Emerson/Alonso Luiz/Zouma Rudiger/Christensen Azippilicueta.
Hapo Rudiger, Azpillicuta na Emerson wanawazidi mbali akina Luke Shaw, Bail na Bisaka
Lukaku ondoa, hawezi wekwa Benji na Rashford naameshatoa barua ya kuhama aidha Inter au JuveKwa kiwango kidogo kivipi mkuu?
LUKAKU, MARTIAL, MATA, RASHFORD, SANCHEZ sasa naomba unitajie Forwards zenu za maana
Na bado hujawaweka akina RJEmerson/Alonso Luiz/Zouma Rudiger/Christensen Azippilicueta.
Hapo Rudiger, Azpillicuta na Emerson wanawazidi mbali akina Luke Shaw, Bail na Bisaka
Willian umemuona kombe la America au unaongea tu? Man u kuna mchezaji gani hapo wa kumreplace Willian kwenye nafasi yake?[emoji23]
Nimecheka balaa
Hapo cha kichekesho zaidi hao teenagers ndio wapo vizuri angalau hahahahahhahahaha
Emerson amzidi Luke Shaw mkuu?
Niambie Azpilicueta>Bissaka nitakuelewa
Lindelof alianza vibaya ila amerudi kwenye kiwango cha juu kwa hiyo naweza sema Rudiger ngoma draw na Lindelof kwa sasa
Emerson amzidi Luke Shaw mkuu?
Niambie Azpilicueta>Bissaka nitakuelewa
Lindelof alianza vibaya ila amerudi kwenye kiwango cha juu kwa hiyo naweza sema Rudiger ngoma draw na Lindelof kwa sasa
Willian umemuona kombe la America au unaongea tu? Man u kuna mchezaji gani hapo wa kumreplace Willian kwenye nafasi yake?
We jamaa unaongea kishabiki Sana kuliko kiuhasilia yaani willian ni galasa?we unautani na mpira wa miguu hata ukiuliza mashabiki zako was man u watakushaa man u hawana mchezaji km willian ndo maana mlikuwa mnamtaka udi na uvumba ila haliwakataa.Willian kukubalika kwake yawezekana huwa anaroga yule jamaa
Willian ni bonge la garasa ila sina jibu kwa nini makocha huwa wanampenda
Argentina kaondolewa Copa America semi final - Poor Messi
Leo Misri kaondolewa na RSA group of 16 AFCON - Poor MO Salah
Halafu bado wako kwenye race ya Ballon d'or
Hivi wao wanajua kwa nini Bodi inamung'ang'ania Willian, je wanajua Barcelona wameona nini kwa Willian kumfukuzia miaka miwili?Willian umemuona kombe la America au unaongea tu? Man u kuna mchezaji gani hapo wa kumreplace Willian kwenye nafasi yake?
Pia hutakuwa na jibu kwa nini bodi ya Chelsea sio tu wanampenda, pia wanamheshimu,Willian kukubalika kwake yawezekana huwa anaroga yule jamaa
Willian ni bonge la garasa ila sina jibu kwa nini makocha huwa wanampenda
Unaona naongea kiushabiki kushambulia hebu pitia reference yangu hapo chini profile yake Willian tokea amefika ChelseaWe jamaa unaongea kishabiki Sana kuliko kiuhasilia yaani willian ni galasa?we unautani na mpira wa miguu hata ukiuliza mashabiki zako was man u watakushaa man u hawana mchezaji km willian ndo maana mlikuwa mnamtaka udi na uvumba ila haliwakataa.
Pia hutakuwa na jibu kwa nini bodi ya Chelsea sio tu wanampenda, pia wanamheshimu,
Hutakuwa na jibu pia kwa nini Timu kubwa kama Barcelona wanamuinda miaka miwili na Zaidi!
Hutakuwa na jibu pia yeye akiwemo kati ya legends wa timu kubwa kama Chelsea