Naona tuko pamoja, kwa sababu ya ban, Kovacic hata kama tukimtaka hatutaweza kumsajili
Willian, Giroud na Pedro wanacheza vizuri lakini kwa sababu ya age sio wa kuwatumainia kabiusa, kama msimu uliopita, mechi Fulani wako fit nma mechi nyingine wamedorora. Vivyo hivyo vijana wadogo wa 20 and below pia sio wa kuwategemea kwa sababu bado wako kwenye growing phase, mimi forward namuamini Zaidi tammy over Giroud lakini bado sio wa kumuamini kenye title race kwa sababu anakua bado
Tukibaki kwenye no. 3 msimu ujao tutamshukuru Mungu lakini kwenye title ni miujiza ya football
Labda Liverpool na Mancity kutokee mgogoro wa ajabu sana
Chelsea ambacho hairuhusiwi ni kusajili mchezaji mpya ila inaruhusiwa kuongeza mikataba ya wachezaji ilionao au kuwarejesha wachezaji walio kwenye mkopo
Joginho atarudi namba naneNimesoma uchambuzi na mawazo ya chelsea wenzangu na mashabiki wa liverpool niseme tu wachezaji wa chelsea watafanya mambo matatu
(1) watajituma ku ili ku prove wrong uwepo wa hazard ndio ulikuwa msingi na mafanikio ya chelsea
(2) itakuwa nafasi kwa wachezaji waliorudishwa kujitahidi performance ya hali ya juu kuendelea kuaminika hata ban itakapoisha ,ili linaweza kuwa positive or negative ,negativeity nikimaanisha anayekamia chakula kwa sababu ya njaa anaweza kukiparamia kikamwagika au kikamkaba
(3)wachezaji walio lalamikia uwepo wa sarri ball kama willian na genge la mashabiki tutakuwa tumeridhika na uamuzi wa board mchezaji wetu kante anaweza kurudi dimba lake la kujidai ila napata mashaka na performance ya Jorgihno amekuwa na performance ya hali ya juu mechi za mwisho pia team ya taifa ,mpira aliopiga jorgihno angekuwa liverpool wanavyo penda vya kwao tungekoma
Maoni yangu naona club yetu ikitoka trophless pia kuna dalili ya kukosa top four labda bahati na bidii ya wachezaji wetu makinda itubebe
Msisahau kipindi hicho tuna Oscar, Hazard na Mata alikuwa ktk kiwango kizuriMorinho
Hili nililisema humu mapema naona leo legend analipigia msumariJohn Terry on Lampard for Chelsea Manager Post
After the season he has had with Derby and with Chelsea’s transfer ban in place, there is no-one better equipped than Frank to succeed at Chelsea. It is perfect timing for him and the club,’
Ndugu InnoSijajua kwanini mashabiki wa Chelsea wanamumchukulia poa pulisic wakati ni mchezaji mzuri Sana laiti mngekuwa mnangalia michuano za nchi zao zinazoendelea anachofanya pulisic huko msingemchukulia poa.Pulisic ni mchezaji mwenye skills,anauwezo wakukaba,ni pass master na pia anauwezo kucheza kwenye nafasi nyingi km no8,10,7 na 11.Hadi Sasa hivi ndio mchezaji anayeongoza kwa assist kwenye hii michuano yao ya bara la America ya Kati inayoendelea Ana assist 3 na goli 1 kwenye jumla ya mechi tatu na yeye ndio kampten wa USA.