@King NgwabaI beg to differ!
Inaweza kuwa hakuna tofauti kati ya Legacy ya Zidane (Kwa Real) na Legacy ya Lampard (Kwa Chelsea).
Lakini kuna tofauti kubwa sana sana sana sana kwa Real alioipokea Zidane na Chelsea atakayoipokea Lampard.
Kumbuka kuwa Zizzou kaipokea Real ikiwa na Wachezaji kama Ronaldo, Benzema, Bale, Ramos, Marcelo, Casemiro, Modric na Kroose ambao hao wote ni World Class players wenye uwezo wa kukupa matokeo muda wowote ule.
Na msisitizo ni kwa hawa BBC (Bale-Benzema-Cristian) ambao Walitosha kumpa mafanikio Zizzou kiasi ya Kwamba hakutengeza timu Bali alirithi timu iliyokwisha kutengezwa.
Sasa je Lampard atawakuja wachezaji wa Calibre ya aliowakuta Zizzou?
Hazard alikua kirusi ndani ya Chelsea kwa mujibu wa Sarri na ndio kilichomfanya kocha aondoke.
Kolabo yake na faby ilikua balaa huko dressing rooms...Hazard alikua kirusi ndani ya Chelsea kwa mujibu wa Sarri na ndio kilichomfanya kocha aondoke.
It is true!Hazard alikua kirusi ndani ya Chelsea kwa mujibu wa Sarri na ndio kilichomfanya kocha aondoke.
STATS show Chelsea were better WITHOUT Eden Hazard last season with more wins, goals and better defence.
Hivi game za Futuhi na Carabao without Hazard ndiyo unataka kufananisha na EPL & UCL without Hazrd?
Wrong stats.
karibu nyumbani ulifanya kazi nzuri pale BAKUPetr Cech karudi nyumbani kama Technical And Performance Advisor.
Welcome Back Legend. Welcome HomeView attachment 1133293
MSIMU UJAO NAWAMBIA TUTAMALIZA KWENYE NAFASI NZURI NA KUNYANYUA KWAPA TENA
MARK MY WORDS