OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Ngoja tuone hope watafanya kitu cha maana.Claude Makelele naye kajiuuzulu ukocha kule Belgium ili aje kujiunga na Lampard
Yeye na Drogba watakuwa wakimsaidia Lampard kwenye kuinoa Chelsea akipewa kandarasi ya kuifundisha Chelsea
Kweli alileta soka la kuvutia..nakumbuka ile fainali na man city tulipiga mpira wa maana Sana.. nikikumbuka..msimu upiopita man city walitunyanyasa sana mbele ya conte..yaani siwezi kusaau ule mchezo..japo tulifungwa moja lakini tulinyanyasika..Tangu nimeanza kushabikia Chelsea sijawahi kuona kocha anayechezea mpira kama Sarri. Narudia tena Sarri is the best hauchoki kuangalia mechi.
Bye Sarri lkn hatutachukua muda kabla ya kummis
Argentina Taifa lenye nyota kwenye ligi za Ulaya kama akina Messi, Di Maria, Paredes, Aguero lakini wanashindwa kuisadia timu yao kushinda mataji!!
Leo Colombia imewabugiza Argentina 2-0 mbele ya hao masupastaa
Uko sahihi mkuu ila Lampard pia ni muumini wa mpira wa kushambulia japo kuna wakati anapack basi kulingana na nature ya timu anayocheza nayoTangu nimeanza kushabikia Chelsea sijawahi kuona kocha anayechezea mpira kama Sarri. Narudia tena Sarri is the best hauchoki kuangalia mechi.
Bye Sarri lkn hatutachukua muda kabla ya kummis
Hata kama Lampard atateuliwa manager wa Chelsea halafu akafukuzwa, bado atabaki na ile heshima yake ya Legend na bado atakuwa na ukaribu ule ule na Chelsea na washabiki wake
Kama ilivyo kwa MOU anafukuzwa halafu kesho anarudi muda wowote, hao wameitendea Chelsea mema isiyo kifani
Chelsea bila Hazard?
Mhhh mtayumba sana
Pia Bwana Mafegi anaenda Juve!
Hapana Liverpool ni taasisiVIP na ninyi mliyumba bila cotinyo?
Sarri ball is the best ila hana ubunifu, angeongeza ubunifu, tactics na tricks angekuwa bonge la kocha. Mfahidhina Sarri japo kwa wakati Fulani ufahidhina wake unafaaTangu nimeanza kushabikia Chelsea sijawahi kuona kocha anayechezea mpira kama Sarri. Narudia tena Sarri is the best hauchoki kuangalia mechi.
Bye Sarri lkn hatutachukua muda kabla ya kummis
Kwani Chelsea sio taasisis? Ingeweza kupata mafanikio hayo yote kwa miaka 15 miaka 8 bila Hazard? Hata hivyo asante kwa kusema ukweli tofauti na wengine wanaosema tutashuka daraja. Chelsea huu msimu unaoisha ilitabiriwa na wengi namba 6 tukamaliza namba 3 maana yake timu bora EPL ya tatu baada ya Man cioty na LiverpoolHapana Liverpool ni taasisi
Tunacheza kitimu
Barca kala 4-0 bila SALAH wala Firmino
Bayern kashindwa tufunga bila VVD
Anyway mtakuwa tena wa 4 sababu Man U na Arsenal bado ni "utumbo"
Ubingwa mbio ni wale wale,Man City vs Liverpool
Bado ni tetesi haijawa official kwa mimi hii timu angepewa kocha wa ajaxChelsea yetu inegeuka team ya majaribio kumleta legend Lampard na Drogba kuifundisha Chelsea haswa kwenye kipindi kigumu kama hiki cha zuio la kujiimarisha ni kuirudisha team nyuma ,hakuna good achievement yoyote aliyoifanya Lampard kupewa ukocha Chelsea huko alikotoka ,makocha wote hawawezi kuwa zidane yule jamaa ni bigger mind na tofauti sana .Mimi binafsi sikupenda sarri ball ila bora kitu kuliko kukosa kabisa na ndiko tunaelekea ni bora angepewa team Nuno wa wolves ,kwa makusudi kabisa tumeamua kuwaiga man u kurudi nyuma .
Wenye ubunifu mbona hawajaingia top 4?Sarri ball is the best ila hana ubunifu, angeongeza ubunifu, tactics na tricks angekuwa bonge la kocha. Mfahidhina Sarri japo kwa wakati Fulani ufahidhina wake unafaa
Kwani lampard alijarubu team ipi akashindwa?Chelsea yetu inegeuka team ya majaribio kumleta legend Lampard na Drogba kuifundisha Chelsea haswa kwenye kipindi kigumu kama hiki cha zuio la kujiimarisha ni kuirudisha team nyuma ,hakuna good achievement yoyote aliyoifanya Lampard kupewa ukocha Chelsea huko alikotoka ,makocha wote hawawezi kuwa zidane yule jamaa ni bigger mind na tofauti sana .Mimi binafsi sikupenda sarri ball ila bora kitu kuliko kukosa kabisa na ndiko tunaelekea ni bora angepewa team Nuno wa wolves ,kwa makusudi kabisa tumeamua kuwaiga man u kurudi nyuma .
Mtaje ni nani mwenye ubunifu kashindwa kuingia top 4Wenye ubunifu mbona hawajaingia top 4?
Claude Makelele naye kajiuuzulu ukocha kule Belgium ili aje kujiunga na Lampard
Yeye na Drogba watakuwa wakimsaidia Lampard kwenye kuinoa Chelsea akipewa kandarasi ya kuifundisha Chelsea
Kashindwa kuipandisha daraja derby ataweza pressure za Chelsea? ,team yetu bado inapaswa kuchukua kombe lolote ili kuendeleza record bora kabisa ya kutotoka kapaKwani lampard alijarubu team ipi akashindwa?