Ni arsenal ndo ituwashie moto [emoji23][emoji23][emoji23]We subir uwashiwe moto next season
Tatizo mashabiki wengi hawajauelewa mfumo wa Sari. Yeye anataka kwanza mfumo wake ueleweke ndo options nyingine zifuate na amekuwa clear kwenye press zake kuhusu hilo.
Ni arsenal ndo ituwashie moto [emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza uchokozi mkuu
Subirin kichapo tu hamna namnaDah Barkley ndo tunategemea halafu ndo anachomesha timu yake ya taifa kizembe.
Yaan chelsea itarud level za evertonWe subir uwashiwe moto next season
Hii timu ni level za everton nafas ya 7au8 inawahusuYani dah! Kila nikikumbuka michezo muliyoshinda kwa jitihada binafsi za Hazard basi nawaonea huruma sana!
Natangaza points zangu 6 kabisa za EPL ninachukua hapa
Shtuka usingizini weweHii timu ni level za everton nafas ya 7au8 inawahusu
Ni mawazo yangu hayo mkuu ila yana ukwel ndani yakeShtuka usingizini wewe
Hamna ukwel wowote..tena Chelsea inaweza kuwa hata title contenderNi mawazo yangu hayo mkuu ila yana ukwel ndani yake
Let us wait mkuuHamna ukwel wowote..tena Chelsea inaweza kuwa hata title contender
Ogopa sana madogo wakipewa nafasi
Pole sana nyie man u mnateseka sanaLet us wait mkuu
Ila narudia tena nafas ya8au 7 inawahusu