Chelsea FC (The Blues) | Special Thread




Hayo ni mawazo ya Paul Hayward, wewe unafikiriaje au mawazo yako ni nini?!
 
Reactions: Mbu



Haya ndio matatizo ya kutegemea sana magazeti ya udaku kama source of information. Hernan Crespo amekuja Chelsea kabla ya Mourinho, sasa inakuwa vipi ununuzi wake usababishe Mourinho aachie ngazi?!!

Schechenko?!! Did you mean Schevchenko?
 
Mataa wetu hawa hapa:

Dave Beasant, Frank Sinclair, Gareth Hall, Andy Myers, Bernard Lambourde, Danny Granville, Ken Monkou, Michael Duberry, Clive Wilson, Jody Morris, Pat Nevin, Clive Walker, Jimmy Floyd Hasselbaink, Kerry Dixon, Tore Andre Flo, Gianfranco Zola

waku mnawakumbuka hawa? hawa ni legends wa Chelsea fc, wengine pia mimi sijawaona wakiwa uwanjani lakini nakumbuka Magic Zola na mpiga mabao hatari Jimmy. Pia kuna Tore Flo jamaa winger mwenye miguu mirefu pia alikuwa tayari.

Natamani kuwacheki Jpili sasa sijui kama game itakuwa broadcastes kwenye supersport. follow on chelseafc.com
 
Tatizo ni wewe mwenyewe chief, sio JF kama unavyotaka tuamini. JF wamekupa option ya kuedit posts zako, which means you can do a lot including deleting unwanted post/s....play your part.

...well said mzee wa Darajani.


:nono:...Ruta,

Uungwana ni vitendo kaka. Wengi wape. Hizi thread zimo tangu 2007, wachangiaji wakudumu katika thread hizi wana mitiririko yao, ndio maana zimedumu mpaka leo. Huo uchangiaji wako wa paste & copy analysis ndeeefu hatupendi bana. Ni kiasi cha kuelewa tu mkuu, kwani lazima mpaka utuudhi sote?

Hatupendi Copy & paste zako kwenye thread zetu bana.
Kama lengo ni kujionyesha una post nyingi jf, kuna majukwaa mengi tu yaliyokosa wachangiaji, nenda ukayafufue.

Heshima kitu cha bure, (dont take it personal) tunakuheshimu kaka rafiki..
:yield:
Peace and love.
 



Safi sana Culicidae!
Huyo jamaa hana maana! Kila mtu anamsema yeye tu lakini yeye anaona kwamba sisi tunaomkosoa tuna wivu na upeo mdogo. Kwa "upeo wake mkubwa" anafikiri copy and paste ni kazi kubwa sana inayostahili kuonewa wivu, "ma-genius" wa kibongo kazi kwelikweli.
Hahahahahaha, kuna "kazi" yake moja hiyo inayostahili "kuonewa wivu" iko kule kwenye jukwaa lao la Manure, ali-paste page nzima ya blog kutoka the Gurdian, sijui alikuwa anafikiria nini?!! Lakini ni dalili kwamba yeye mwenyewe hawezi kujenga hoja na pengine anaamini katika kila kitu kinachosemwa na hawa wenzetu; watu wa aina hii ndio walisababisha Afrika ikatawaliwa in the first place, waliamini kwamba kila anachosema mzungu ni sahihi kumbe wapo wazungu wengi sana vilaza tunawaona street.
 
Ile post niliiona alicopy kuanzia heading mpaka comment ya mwisho noma yenyewe nilikuwa natumia mobile ngoma niliscroll mpaka kidole kikauma. Ila kilichoniboa zaidi ni pale tulipomwambia akasema tunamuonea wivu.

Hivi huyo Emenalo ndio mjanja wa Roman? Maana naona jamaa kazi yake iko safe.
 



Hahahahaha, inawezekana ndio Sheikh Yahya wa Roman!
 
Reactions: Mbu
.....noma yenyewe nilikuwa natumia mobile ngoma niliscroll mpaka kidole kikauma....

Hapo mzee nimecheka kwelikweli mpaka mbavu zinauma....:biggrin1: :biggrin1: :biggrin1:...utajuta kusoma posti za watu...lol!
 
Hapo mzee nimecheka kwelikweli mpaka mbavu zinauma....:biggrin1: :biggrin1: :biggrin1:...utajuta kusoma posti za watu...lol!
Hehehe we acha tu, nilikuwa namtukana jamaa kimoyo moyo lol.. Alafu sasa alipost hiyo kitu mara mbili.
 


ITCHING TO RETURN ... Guus Hiddink


The Guss has landed khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee​
 
Reactions: Mbu
Lukaku, Snejder, Neymar, Sanchez And Hiddink on the List!!!!! Chelsea to win everything next year!!! lol
 
Lukaku, Snejder, Neymar, Sanchez And Hiddink on the List!!!!! Chelsea to win everything next year!!! lol
Mabeki vipi? Shughulikia hilo Rev.Fr, maana msimu huu nyavu zimeguswa sana, mnahitaji kuwa na backup ya kutosha kwenye defence.
 

Pumzika bwana mdogo ila kumbuka usijirushe sana ukashindwa kutua ardhini - Bado una majukumu makubwa mno kuhakikisha Chelsea inanyenyua kombe la UEFA kabla ya wewe mwenyewe hujastaafu - bado tunakuamini kubeba mikoba yote ya timu yetu next season.

Nafikiri ugomvi na mama umeshaisha kawaida mama zetu ni wepesi mno kusamehe ukiangukia.

Tunakutakia mapumziko mema MR. CHELSEA.
 

Ila apunguze udiso...hata kwa waifu? mcheki bukta ilivyovimba
 



Nasikia kaamua kuchukua jumla isiwe tabu hata kabla hamjapata kocha khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee​
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…