Ngoja tuwawahi wapiga ramli.View attachment 1106291
Wachezaji wa Championship kibao wanawaniwa na timu za EPL nyie sijui mna matatizo gani.? Daniel James wa Swansea anawaniwa na Man Utd, Tammy zipo ofa kibao moja ni ya Everton. Wanachokiona kwa hawa wachezaji sijui nyie ni kina nani hamkioni? Championship mnaichukuliaje wazee!!
Hivi hamjui kinachomjenga mchezaji ni pamoja na kupata playing time ya kutosha na ndio maana wanapelekwa kwa mkopo.!! Mnaenelewa hata maana ya Field kwa wanafunzi, faida zake labda?
Mnisamehe najaribu kutafuta namna nzuri kuwaelezea mkanielewa.
Chelsea wanamchukua na Chelsea is a middle table team, sawa mchambuziMkuu Timu Bora zinasajili wachezaji Bora. Zouma si World Class Player. ni average player wakucheza timu za middle table.
Kwahiyo zouma ni mfupi? Na pierre liquid atakuwa nani?zouma gani ambaye ni mrefu hhhhh
Mkuu centimetre 190 unamregard ni mfupi huyo.?zouma gani ambaye ni mrefu hhhhh
Nimeona amesema wazi anataka kucheza EPL.Luke Jovic has opened the door on a move to Chelsea
Alonso naye nimeona kuna uwezekano akaondoka.Fans proposal if Ban not delayed and Hazard Leaves Chelsea
GK : Kepa Willy Academy
RB : Azpi and Reece
CB : David Luiz, Rudi, Andrease Christiansen, Kurt Zouma
LB : Marco Alonso and Emerson
CM : Jorginho, Kante, Ampadu (?) Barkley RLC Mount (?)
Wingers : Willian, Pedro, CHO, Pulisic
Strikers: Giroud Bats Tammy
Mkuu umeshinda. It seems like am losing my energy for this bullshit.Huyu Zouma kama angekuepo City angelikua anasaidia kuokota mipira mazoezini. Lakini si kucheza uwanjani.
Pole sanaMkuu centimetre 190 unamregard ni mfupi huyo.?
acha kutoa mifano ya kishoga ukiangalia kwenye mpira hapo epl kwa chelsea tu hamfikii beki yoyoteKwahiyo zouma ni mfupi? Na pierre liquid atakuwa nani?
sawa ila hii unatugharimu unapokuwa na jinga SARR game ya kirafiki unapanga kikos chote mtu kama ROFTAS CHEEK muhimu aaumia tunapoteza watu muhimu kabis
Kwahiyo baba yako ni shoga?acha kutoa mifano ya kishoga ukiangalia kwenye mpira hapo epl kwa chelsea tu hamfikii beki yoyote
Peter Crouch ana 200cmMkuu centimetre 190 unamregard ni mfupi huyo.?
Daah.. Itatu cost sana hii, msimu ujao lazima turudi kwenye mihangaiko.Maurizio Sarri Agrees To £6.1m Contract At Juventus