Nenda youtube ka search video ya Zuma 2018/19, hiyo itatosha kumjua Zuma kwenye defensive aspectsMkuu Southern hizo ni offensive stats, vip kwa upande wa defensive, maana mabeki huwa tunawajude zaidi katika majukumu yao ya kukaba kulilo kushambulia
Sorry, wewe ni wa jukwaa gani mkuu?
Huyu atakua Manure tu si bure.Madrid huyo.
Unajua kuna washabiki wa timu za EPL walikimbilia Barca na Madrid, sasa hivi baada ya EPL kurudi kuishika EUROPE wanatafuta jinsi ya kurudi.
Ukienda kwenye threads zao kule wamekimbia, ndiyo hawa sasa hivi wanatangatanga.
Keep dreaming, usiku na mchana ndoto saa nyingine zinafarijiMi napingana na wewe kabisa, Chelsea itagombea ubingwa labda tu ikose Bahati, ila sio kisa tumefungiwa kusajili ndio tushindwe kubeba au kugombania EPL
Tuna wachezaji wanaoweza kuifanya hiyo kazi vizuri tu
Shida ya Chelsea ni mabeki kutoifanya kazi yao vizuri na washambuliaji pia kushindwa kutimiza majukumu yao.
Kama haya matatizo mawili watayarekebisha kwa hawa hawa wachezaji tulio nao ubingwa tutagombea vizuri tu
zouma gani ambaye ni mrefu hhhhhZouma ni beki mzuri hasa kwenye Defensive phase kuliko hata akina Luiz na Rudidger kwa sababu yeye ni mwepesi na mrefu. Sisi Chelsea tunamuhitaji sana hata kama tusingekuwa na ban
Mmemtupa moses, conte anamnyakua next week
Warudi man city ndio haina mashabiki wengiMadrid huyo.
Unajua kuna washabiki wa timu za EPL walikimbilia Barca na Madrid, sasa hivi baada ya EPL kurudi kuishika EUROPE wanatafuta jinsi ya kurudi.
Ukienda kwenye threads zao kule wamekimbia, ndiyo hawa sasa hivi wanatangatanga.
Rumors/GossipsSarri mambo yameiva " agree personal terms with juventus.
Sarri mambo yameiva " agree personal terms with juventus.
| 1. Eden Hazard - (53,700 votes) | 34% |
| 2. Luka Jovic - (34,700) | 22% |
| 3. Christian Eriksen - (25,300) | 16% |
| 4. Neymar da Silva - (16,900) | 11% |
| 5. Tanguy Ndombélé - (16,400) | 10% |
| 6. Paul Pogba 11% votes - (13,800) | 9% |
Warudi man city ndio haina mashabiki wengi
Nenda youtube ka search video ya Zuma 2018/19, hiyo itatosha kumjua Zuma kwenye defensive aspects
We una shida
Wachezaji woote wanaotakiwa nna Man city, Barca, RM ni wazuri pekee yao, ingekuwa hivyo wasingekuwa na pakuwaweka. Toka Enzi za akina Pele, Maradon na hadi leo, wachezaji wazuri wapo tu na wote hawaenei kwenye few rich clubs. Mimi naona hayo ni mawazo na mtizamo finyu juu ya ubora wa wachezaji. Barca, Real na timu nyingine Tajiri zimeishia kuchukua wachezaji wa kawaida au kuwa na interest na wachezaji wa kawaida sana ni wewe tu ndie huoni kwa sababu sijui wewe ni Real Madrid au Juve. Una chuki binafsi na baadhi ya wachezaji wa Chelsea, Sorry mkuu
Hizo timu unazozidharau zinacheza Europa League final tar 29. Huyo Chelsea kaingia fainal ya Carabao cup pia kamaliza ligi nafasi ya 3. So usichukulie poa.
Hapa chini nimekuwekea takwimu za Zouma na mmoja kati ya mabeki bora msimu huu ulioisha. Zingatia Zouma ametoka majeruhi pia angalia na mechi alizocheza.View attachment 1107267