Wachezaji wa Championship kibao wanawaniwa na timu za EPL nyie sijui mna matatizo gani.? Daniel James wa Swansea anawaniwa na Man Utd, Tammy zipo ofa kibao moja ni ya Everton. Wanachokiona kwa hawa wachezaji sijui nyie ni kina nani hamkioni? Championship mnaichukuliaje wazee!!
Hivi hamjui kinachomjenga mchezaji ni pamoja na kupata playing time ya kutosha na ndio maana wanapelekwa kwa mkopo.!! Mnaenelewa hata maana ya Field kwa wanafunzi, faida zake labda?
Mnisamehe najaribu kutafuta namna nzuri kuwaelezea mkanielewa.
Kwa hiyo hawa waliotoka Serie A, Arsenal ndio wataweza, Batshuayi!!. Batshuayi ni mchezaji mzuri ila nyota yake bado inaendelea kuwa mbaya na kama unacheza kamari kwa kete ya Batsuayi, umeamua tu mweneywe kujimaliza kwa 75%
kama unacheza kamari kwa kete ya Tammy angalau, umeamua tu kujimaliza kwa 30-40% 60-70% atafanya vizuri. Naomba hii itokee, wote wabakizwe na wapewe mechi za EPL ili tuone, mkishinda is OK ila nawasiwasi kama mtashinda
Unajua kwenye timu kubwa demand na pressure ya expectations iko high na ndio maana mchezaji anaweza fanya vizuri Atletico Madrid kuliko Real Madrid au Chelsea, sometimes hii inachangia. Nakubali pia sio kila mara pesa inaamua timu inapata wachezaji wazuri ila pesa ikitumika vizuri mara chache of course inaweza kuleta matokeo bora. Wee chukulia mfano Diego Costa, katoka Chelsea moto kaenda kupoa Atletico, Ila nawakumbuka wachezaji kama akina Ronaldo Delima, Maradona, Cristiano Ronaldo moto ule ule
Zouma ni beki mzuri hasa kwenye Defensive phase kuliko hata akina Luiz na Rudidger kwa sababu yeye ni mwepesi na mrefu. Sisi Chelsea tunamuhitaji sana hata kama tusingekuwa na banMkuu huyu hana chakuiva. Huyu Bomu ambalo lilishakuepo pale na likavurunda.
Ndg sisi hatugombei ubingwa wa EPL mwakani tukiwa bado na hii ban iko mdomoni. Alternative hizi zinakuja kwa sababu ya ban na hata Batshuayi tumtegemee yeye kucontest EPL title ni ndoto. Sisi mwakani tutapigania heshima mjini tuHawa watu wana fikra za jabu kabisa. Yani striker wa Championship ndio umeletee umtegemee kwa kugomabania ubingwa EPL pamoja na Champion League. Ni vichekesho kabisa.
Sometimes nashindwa kuelewa keywords mnazotumia kana kwamba mnaishi sayari yenu wenyewe. Zouma kaitwa timu ya Taifa, Mabingwa wa dunia kama CB halafu bado unasema bomu, kavurunda, haya nyie wataalamu wa football kuliko Didier Deschamps Meneja aliyeipatia Taifa la Ufaransa ubingwa wa Dunia kamuona anafaa na kamuita kwenye timu ya Taifa. Marco Silva ana mpango wa kumnunua kabisa Chelsea wasipomuhitaji .Mkuu huyu hana chakuiva. Huyu Bomu ambalo lilishakuepo pale na likavurunda.
Sometimes nashindwa kuelewa keywords mnazotumia kana kwamba mnaishi sayari yenu wenyewe. Zouma kaitwa timu ya Taifa, Mabingwa wa dunia kama CB halafu bado unasema bomu, kavurunda, haya nyie wataalamu wa football kuliko Didier Deschamps Meneja aliyeipatia Taifa la Ufaransa ubingwa wa Dunia kamuona anafaa na kamuita kwenye timu ya Taifa. Marco Silva ana mpango wa kumnunua kabisa Chelsea wasipomuhitaji .
Mkuu.. Zouma asingeweza kuitwa timu ya taifa mwaka jana kwa sababu bado alikua ana recover kutoka majeruhi japo alikua amesha cheza baadhi ya mechi lakin haikua kwa kiwango kikubwa kama alichokuwa nacho kabla ya majeraha. Kwa sasa kesharejea na ndio maana kaitwa tena. Pia kuitwa kwake haimaanishi yeye ni bora kuliko wengine ila kocha wake anauona mchango pia kuna tetesi hata Arsensl na wanamtaka.Marco Silva ni kocha wa timu gani? na timu yake inashinda nini? Lazima utafautishe mchezaji anewaniwa na mid table timu na timu kubwa. Zuma hajawahi kwa World Class defender wala hana dalili zakua.
Na kuhusu France mkuu wachezaji wengi tu wameshaitwa kwenye timu ya taifa haimaanishi ndio wana ubora, Wengine ni kwa majaribio tu. Je alikuwemo kwenye kikosi cha World Cup? hicho ndio kigezo.
Huyu jamaa wa jukwaa gani.? Ni Liverpool au Manure.?Ndg sisi hatugombei ubingwa wa EPL mwakani tukiwa bado na hii ban iko mdomoni. Alternative hizi zinakuja kwa sababu ya ban na hata Batshuayi tumtegemee yeye kucontest EPL title ni ndoto. Sisi mwakani tutapigania heshima mjini tu
Mkuu.. Zouma asingeweza kuitwa timu ya taifa mwaka jana kwa sababu bado alikua ana recover kutoka majeruhi japo alikua amesha cheza baadhi ya mechi lakin haikua kwa kiwango kikubwa kama alichokuwa nacho kabla ya majeraha. Kwa sasa kesharejea na ndio maana kaitwa tena. Pia kuitwa kwake haimaanishi yeye ni bora kuliko wengine ila kocha wake anauona mchango pia kuna tetesi hata Arsensl na wanamtaka.
Sasa kishokomzobe unaepiga pampalila humu hatukuelewi mzee.
Sasa Everton unaifananisha na Chelsea kwa malengo?Wachezaji wa Championship kibao wanawaniwa na timu za EPL nyie sijui mna matatizo gani.? Daniel James wa Swansea anawaniwa na Man Utd, Tammy zipo ofa kibao moja ni ya Everton. Wanachokiona kwa hawa wachezaji sijui nyie ni kina nani hamkioni? Championship mnaichukuliaje wazee!!
Hivi hamjui kinachomjenga mchezaji ni pamoja na kupata playing time ya kutosha na ndio maana wanapelekwa kwa mkopo.!! Mnaenelewa hata maana ya Field kwa wanafunzi, faida zake labda?
Mnisamehe najaribu kutafuta namna nzuri kuwaelezea mkanielewa.
Kwa zouma namtetea kabla ya kuvunjika mguu alkuwa ameshapata namba kabisa na kuanza kuaminika, aliporudi kutoka majeruhi, ikawa ngumu kuanza pale alipoishia ndio tukaanza kumtoa kwa mkopoMkuu huyu hana chakuiva. Huyu Bomu ambalo lilishakuepo pale na likavurunda.
Kwa zouma namtetea kabla ya kuvunjika mguu alkuwa ameshapata namba kabisa na kuanza kuaminika, aliporudi kutoka majeruhi, ikawa ngumu kuanza pale alipoishia ndio tukaanza kumtoa kwa mkopo
Mi napingana na wewe kabisa, Chelsea itagombea ubingwa labda tu ikose Bahati, ila sio kisa tumefungiwa kusajili ndio tushindwe kubeba au kugombania EPLNdg sisi hatugombei ubingwa wa EPL mwakani tukiwa bado na hii ban iko mdomoni. Alternative hizi zinakuja kwa sababu ya ban na hata Batshuayi tumtegemee yeye kucontest EPL title ni ndoto. Sisi mwakani tutapigania heshima mjini tu
Mkuu haya ni maoni yako nami nayaheshimu, hatupo hapa kujadili malengo ya kila timu za ligi kuu. Nadhani msimu ujao dogo akirudi na akapata playing time ya kutosha mnaweza kusema wenyewe ni wapi anastahili. Hizi timu mnazoziponda ndio mara moja zinatutoa kamasi tukikutana.Sasa Everton unaifananisha na Chelsea kwa malengo?
Kila msimu Chelsea inawaza kutwaa kombe angalao moja, evertoni malengo yao ni kubaki ligi kuu tu
Hizo timu unazozidharau zinacheza Europa League final tar 29. Huyo Chelsea kaingia fainal ya Carabao cup pia kamaliza ligi nafasi ya 3. So usichukulie poa.Huwezi sikia Man City, Real au Barca wanamtaka Zuma. Hizo kina Arsenal ndio wenzenu abao mnaishia kugombea nafasi ya 4. Hawa kina Zuma ndio wanaojipiga mitama wenyewe wanapokutana na kina Leo Messi
Mkuu Southern hizo ni offensive stats, vip kwa upande wa defensive, maana mabeki huwa tunawajude zaidi katika majukumu yao ya kukaba kulilo kushambuliaHizo timu unazozidharau zinacheza Europa League final tar 29. Huyo Chelsea kaingia fainal ya Carabao cup pia kamaliza ligi nafasi ya 3. So usichukulie poa.
Hapa chini nimekuwekea takwimu za Zouma na mmoja kati ya mabeki bora msimu huu ulioisha. Zingatia Zouma ametoka majeruhi pia angalia na mechi alizocheza.View attachment 1107267
Mkuu Southern hizo ni offensive stats, vip kwa upande wa defensive, maana mabeki huwa tunawajude zaidi katika majukumu yao ya kukaba kulilo kushambulia
We una shidaHuwezi sikia Man City, Real au Barca wanamtaka Zuma. Hizo kina Arsenal ndio wenzenu abao mnaishia kugombea nafasi ya 4. Hawa kina Zuma ndio wanaojipiga mitama wenyewe wanapokutana na kina Leo Messi