Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wengine wanasema Chelsea hawawezi na wengine wanasema Chelsea inaweza kusajili wachezaji walioko kwenye mkopo kama Higuaín na Kovacic
So by the next season there is a probability Chelsea will be without Higuaín or Kovacic unless they appeal to CAS and win
 
Tamy anafunga dhidi ya mabeki wa aina gani ?

Msifananishe mabeki wa EPL na championship
 
Tamy anafunga dhidi ya mabeki wa aina gani ?

Msifananishe mabeki wa EPL na championship
Eden tusipange sana timu kana kwamba sisi ni Sarri au Benji la ufundi la Sarri, tuache tu ila ukweli ni kwamba Chelsea wanawapenda wazoefu akina Giroud ndio maana kapewa tena mkataba, Higuaín atapewa kwa sababu kwa asilimia 90 Sari anabaki Chelsea na hao wazoefu wawili wakibakizwa hakuna cha Batshuayi wala Tammy.
 
Tamy anafunga dhidi ya mabeki wa aina gani ?

Msifananishe mabeki wa EPL na championship
Chemistry ya timu ndio inaamua ufungaji, kwa Chelsea kuwa mfungaji mzuri lazima uonyeshe jitihada kama striker ndio maana akina Higuaín na Girou wanasota, Tammy anahangaika kutafuta spaces, anaruka, wewe umeng'ang'ana tu anawafunga mabeki gani, mimi ningependa waje wote wacompete. Naamini Tammy atafunga akiwa na timu yeyote, tofauti na hawa tulionao including Batshuayi
 

Hizo bila ya shaka ni British based meidia. Habari za italy zitafute vyombo vya habari vya kitaliana ndivyo utazipata vizuri.

Kesi ya Acerbi ni wazi kuwa kina Bakayoko walikua wrong na walistahiki adhabu.

Na bakayoko ameonesha matokea tafauti ya utovu wa nidhamu na ndio mana milan wameachana nae wakaamua kutafuta kwengine. Pia bei yake kwao ilikua ni kubwa na ndio mana pia walichukua mda mwingi kuitafakari. Any way wanachukua kifaa chengine kwa 25m tu siku za karibuni.
 
Nashukuru mungu nafuatilia mpira kwa upana sana. Labda Bakayoko we umemjua aliposajiliwa Chelsea. Halafu umesema Atl Madrid na Borrusia ni timu gani.?
Weye unazichuukuliaje hizo timu? timu zenye uwezo wa wastani tu wakifedha huwezi zilinganisha kabisa na top 10 za PL, Lakini tizama mafanikio na hadhi za timu zao zilivyo. Atletico imekua timu ya kiwango cha juu kutokana na kuwa na usajili wa makini. Godin, Miranda, Filipe Luiz, Juanfran, Costa, Gabi, Arda, hawa wote walisajiliwa kwa pesa za kawaida tu mkuu, Ila timu ilikua makini kwneye usajili wake. Sasa timu kama Man Utd inaweza sajili hata 200m kila msimu lakini bado timu ikawa bomu. Hapo ndipo unapopata tafauti ya usajili makini na usajili wa hovyo hovyo.
 
Tamy anafunga dhidi ya mabeki wa aina gani ?

Msifananishe mabeki wa EPL na championship

Hawa watu wana fikra za jabu kabisa. Yani striker wa Championship ndio umeletee umtegemee kwa kugomabania ubingwa EPL pamoja na Champion League. Ni vichekesho kabisa.
 
mkuu Southern Highland nilikuwa namaanisha hapa ulipomquote jamaa alipokuwa anajaribu kufafanua juu ya makocha hawa wanaoangaliwa na juve ili kwenda kumreplace Massimiliano pale atapoondoka mwishoni mwa msimu baada ya kuwepo kwa ugumu wa kupatikana kwa Sarri,lakini wewe ukaelewa kama hao makocha aliowataja ndio wanahitajiwa na chelsea kumreplace Sarri......nafikiri umenisoma broo
 
Mkuu tunapozungumzia timu yenye uwezo kipesa tunazungumzia mchezaji wanayemchukua pamoja kwa gharama yake. Angalia usajili wanaoufanya Dortmund, mchezaji katoka borussia mönchengladbach Thorgan Hazard kaenda dortmund, wamemsajili Brandt kutoka Leverkusen, hapo nazungmzia katoka timu ya maana kaenda timu ya maana. Mkuu kumbuka hao wachezaji walikua wanawaniwa pia na timu kubwa kama Liverpool pia Man City waliwahi kuwahitaji, nakuonyesha ni kwa jinsi gani hizo timu pia zinaweza ku compete kwenye soko la usajili.

Kitu kingine unachojidanganya hakuna usajili unaouita wa maana sajili zote ni kamari. Kinachowapoteza wachezaji wengi wa EPL ni media. Yan mchezaji akivurunda kidogo ataandamwa na media na ndicho kilichompoteza Bakayoko na pia kilikua kinaenda kumpoteza Jorginho pia. Bundesliga, Laliga au Seria A hakuna changamoto kubwa kama EPL kwny swala la Media.
 
Hawa watu wana fikra za jabu kabisa. Yani striker wa Championship ndio umeletee umtegemee kwa kugomabania ubingwa EPL pamoja na Champion League. Ni vichekesho kabisa.
Wachezaji wa Championship kibao wanawaniwa na timu za EPL nyie sijui mna matatizo gani.? Daniel James wa Swansea anawaniwa na Man Utd, Tammy zipo ofa kibao moja ni ya Everton. Wanachokiona kwa hawa wachezaji sijui nyie ni kina nani hamkioni? Championship mnaichukuliaje wazee!!

Hivi hamjui kinachomjenga mchezaji ni pamoja na kupata playing time ya kutosha na ndio maana wanapelekwa kwa mkopo.!! Mnaenelewa hata maana ya Field kwa wanafunzi, faida zake labda?

Mnisamehe najaribu kutafuta namna nzuri kuwaelezea mkanielewa.
 
There are no better media, ziwe Itally au British wote wanauza Gossips ili wapate mshahara. Issue kuu ni kwamba huo mkasa ulitokea na kesi ya Acerbi jezi yake kuonyeshwa kama trophy ilikuwa na majingambo ya kawaida katika michezo kwa sababu Acerbi aliwaambia Lazio ni bora kuliko AC Milan na baada ya Franck Kessie kufunga kwa penalty goli la pekee lililowapa ushindi Milan, ndipo Bakayoko na Franck Kessie wakabeba jezi la Acerbi kumgambia kuwa wao ndio bora kuliko wao. Hata AC Milan walitoa statement kuwa hakukuwa na unyanyapaa wowote kwenye tukio hilo. Whatever is Bakayoko arudi asirudi sawa ila akija apewa nafasi kwenye mfumo wa Sarri ili wamjaribu
 
Unajua kwenye timu kubwa demand na pressure ya expectations iko high na ndio maana mchezaji anaweza fanya vizuri Atletico Madrid kuliko Real Madrid au Chelsea, sometimes hii inachangia. Nakubali pia sio kila mara pesa inaamua timu inapata wachezaji wazuri ila pesa ikitumika vizuri mara chache of course inaweza kuleta matokeo bora. Wee chukulia mfano Diego Costa, katoka Chelsea moto kaenda kupoa Atletico, Ila nawakumbuka wachezaji kama akina Ronaldo Delima, Maradona, Cristiano Ronaldo moto ule ule
 
Hapo ndipo watakapokuja kufahamu kama mihemko sio jambo zuri. Nafasi ya 6 inawasubiri
Kwa hiyo hawa waliotoka Serie A, Arsenal ndio wataweza, Batshuayi!!. Batshuayi ni mchezaji mzuri ila nyota yake bado inaendelea kuwa mbaya na kama unacheza kamari kwa kete ya Batsuayi, umeamua tu mweneywe kujimaliza kwa 75%
kama unacheza kamari kwa kete ya Tammy angalau, umeamua tu kujimaliza kwa 30-40% 60-70% atafanya vizuri. Naomba hii itokee, wote wabakizwe na wapewe mechi za EPL ili tuone, mkishinda is OK ila nawasiwasi kama mtashinda​
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…