Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,054
- 27,458
Man you talk too much. Better behave urself.Chelsea ina wachezaji mahiri kibao, cjui nani aliyetoa wazo la kumleta huyo kocha darajani.
Haya ss kashachafua CV ya UK kuingiza timu 4 fainali[emoji30]
Ushindi wa leo ulikuwa ni muhimu ila hawa madogo wa FrunkFart ni hatari aise ...heko nyingi kwa Loftus, Jorgihno leo kapambna sana ..Zappacosta sioni sabbu ya kuwekwa bench ...Emerson ametisha sana ....Kepaaaaaaaaa the next goalkeeper in world ..asante nyingi ziende kwake....hàhahahahaaCome On Blues.. [emoji123][emoji123][emoji123]
Hahahahaha mnajipanga na Europa sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbn uvivu mwingi humu? Mtupe updates ya mech yenu. Mnatakiwa mcheze na jiran wakat cc tunajipanga na europa next sizoni
Mkuu sarri ametutoa nafasi ya tano uko tuliyomaliza msimu uliopita hadi sasa tuko na uhakika wa nafasi ya tatu ...huoni ni impruvumenti kubwa tu kafanya? Timu iko fainali Europa na uhakika wa kubeba tunao sasa utake nini kwa sarri. Kwanza ndo msimu wake wa kwanza ..hata Pep alifeli vibaya msimu wa kwanza ..Klopp Naye hivyo hivyo..mimi naamini tuna timu nzuri tu ya kufanya vizuri apo mbeleni ...japo Sarri kuna muda anakoroga na zile sub zake ila ni kocha mzuri tu ...Nawaambiaga siku zote kuwa Sariball inatukosti sana Chelsea, haya ss dkk 120 hizo cjui kwanini Ollachuga anajifanyaga ana makengeza kuhusu hili
Ollachuga umejipiga ban ukiomba ushinde ndipo uje usumbue Watu hapa, eeeh...?
Hakuna kocha pale Kaka[emoji3][emoji28]
Ujaona izo za Frunkfart niniMmekosa penalty hahahh
Mkuu angalia sasa tumefuzu final ..hao wajerumani wako vizuri ila Kepa ndo babaaoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata sijisumbui kuangalia penati maana nawaamini Wajerumani wako vzr sana kupiga penati kuliko Chelsea[emoji30]
Hongera sana Chelsea ila tunawakaribisha fainal sisi arsenal tuko vzrUjaona izo za Frunkfart nini
Wale arsenal tunawala vizuri mkuu ..Mara kumi wao kuliko huyu mjerumani....arsenal mapema tu ..tunanyanyua kwapa..Hyo fainali hata sito angalia labda zola apa ge kikosi...auba na lacca mmmmmh
Mara kumi ninyi kuliko ao watoto wa Ujerumani. Frunkfart ni balaaaHongera sana Chelsea ila tunawakaribisha fainal sisi arsenal tuko vzr
Ila madogo wa ujerumani wamekosa nafasi za wazi kabisa ..yani Leo ilitakiwa washinde ila wamezembea sanaMara kumi ninyi kuliko ao watoto wa Ujerumani. Frunkfart ni balaaa
Wewe jamaa unanifurahisha ,weka akiba ya maneno ,Wale arsenal tunawala vizuri mkuu ..Mara kumi wao kuliko huyu mjerumani....arsenal mapema tu ..tunanyanyua kwapa..
naona mmekutana wenye maneno mengii wakuu, hongera siku hizi Aroon umejifunza kidogo football ni mchezo unaotegemea facts nyingi sana hasa mchezo wa fainali yoyote anashinda atakayeamka vizuri, atakayetumia nafasi pia atakayekuwa na bahatiWewe jamaa unanifurahisha ,weka akiba ya maneno ,
Kiukweli we are not doing good enough mabadiliko ya jorgihno nayaona mzee baba kaanza kubadilika, kiufupi sehemu tuliyoimara ni midfield tu, forward tunaye mmoja hazard tu, team yetu inayo matobo mengi lakini mchezo wa fainali unabaki kuwa fainali, tujipongeze kuingia fainaliYan nilichoona kuna watu waliwachukulia poa hawa wajerumani so wakategemea ushindi ni wa mapema tu. Teh.. Wengine hawaangalii wanaangalia matukio basi ndio maana wanakuja na comment uchwara.
Kwa Chelsea hii na ubovu wake isingekua rahisi kushinda mapema au kupata ushindi kirahisi, tuna uhitaji mkubwa wa striker na beki wa kati solid. Bila hivyo tutaumia sana. Hata hiyo fainali 29/05 itakua ngumu sana. Tuzidi kuomba tusipate majeruhi zaidi sisi ndio tuna nafasi kubwa kulichukua kombe hili.
Mkuu ni kweli kabisa unachosema matobo ni mengi sana pale kati kidogo pametulua ila mbele na nyuma ni uozo mtupu. Halafu pamoja na mapungufu yetu mengi tuliyonayo na hata Arsenal ilivyo vizuri vile hasa washambuliaji wake lakini mi naona tuna asilimia kubwa kuchukua hili kombe.Kiukweli we are not doing good enough mabadiliko ya jorgihno nayaona mzee baba kaanza kubadilika, kiufupi sehemu tuliyoimara ni midfield tu, forward tunaye mmoja hazard tu, team yetu inayo matobo mengi lakini mchezo wa fainali unabaki kuwa fainali, tujipongeze kuingia fainali
Messi alizuiwa kwa njia gani.?Hapa pana Kamsiba unatarajiwa kutokea
Hivi Auba na Laka mumeshawahi kuwasikia?
Sijui mutawazuia kwa njia gani!
Mkuu naomba access ya jukwaa la wakubwa pleaseHahahaha utakuwa Man U wewe! Kwenye soka hakuna kuoneana... Mkishinda tunawapa heko tukiwashinda kubalini kuwa tuko juu 🙂