interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Yani kile alichokifanya Man City ndicho kinachotakiwa kwa Man U, Arsenal na Chelsea, mbali na hapo ni maumivu ya mbele kwa mbele tu[emoji87]Ha ha ha ha haya, ila kiukweli hizi timu zinahitaji service za hali ya juu
Kocha nae ni mbovu, mtu asiyekuwa na plan B unataka kumtetea. MOU na Conte wamechukua makombe kwa sababu ya plan B, strategies and tactics huyu ni mzee wa formation tu na sub zinazojulikana. Jana PEP alivyoona City wanalemewa akatoa striker akamuingiza defender. Sarri yeye ni winga kwa winga, MF kwa MF, Defender kwa defender, striker kwa striker ili asibadilishe formation yake pendwaNa ndio mana mnaambiwa kuwa timu ni mbovu, ila wengi mnamtolea povu kocha.
Huwezi pata mafanikio kwa kumtegemea Luiz tena huyu wa sasa awe ndio center back wako.
Safi sana, wakati mwingine Man City wakibanwa na formation yao ya 4-4-3 hutumia sana counter attacks kwa timu pinzani, jiulize sasa lini Sari Masigara alitumia counter attacks zaidi ya vipasi pasi viiingi kupitia Joginho visivyo na kichwa wala miguuKocha nae ni mbovu, mtu asiyekuwa na plan B unataka kumtetea. MOU na Conte wamechukua makombe kwa sababu ya plan B, strategies and tactics huyu ni mzee wa formation tu na sub zinazojulikana. Jana PEP alivyoona City wanalemewa akatoa striker akamuingiza defender. Sarri yeye ni winga kwa winga, MF kwa MF, Defender kwa defender, striker kwa striker ili asibadilishe formation yake pendwa
Kocha nae ni mbovu, mtu asiyekuwa na plan B unataka kumtetea. MOU na Conte wamechukua makombe kwa sababu ya plan B, strategies and tactics huyu ni mzee wa formation tu na sub zinazojulikana. Jana PEP alivyoona City wanalemewa akatoa striker akamuingiza defender. Sarri yeye ni winga kwa winga, MF kwa MF, Defender kwa defender, striker kwa striker ili asibadilishe formation yake pendwa
Mafanikio masihara?
Rome HAIKUJENGWA KWA SIKU MOJA.
Ni msemo mashuhuri huo. mnaleta kocha ndani ya mwaka mmoja mnataka amalize makombe yote kubeba?
Sarri mwenyewe kapaki mabasi mara ngapi. Ule mchezo wa kwanza wa City na Chelsea darajani Sarri kapaki mabasi.Mkuu unatizama interview za Sarri?
Kashalieka wazi hilo yeye hajaja kupark basi pale. Chelsea wamemsaini baada ya kuona kazi yake anayofanya nayeye kajia kazi yake. Kwaiyo kuwa plan a inasumbua suluhisho sio kuleta plan B bali ni kuzidi kuifanyia kazi plan A mpaka isimame.
Chelsea wana matatizo sana kuanzia Bodi yao pamoja mashabiki wao, na ndio mana wamekua hawadumu na makocha.
Binafsi sijaona baya lolote la Sarri mpaka muda huu.
Unakumbuka msimu wa Klop wa mwanzo Liverpool ulivokuawa? Msimuwa Mwanzo Pep pale City ulivokuwa? mbona hawakufukuzwa? kwasababu Team ilibeleave in them na hawakuwa na papara nao. Lakini Chelsea wanataka kombe kwa lazima, Spending yenyewe ndogo, City wanaspend karibu 200 kila season unafikri utashinda nao kirahisi tu? Team imejaa washup players ambao washachoka mno.
MOU na Conte hawakuboronga na Plan B. Plan B haimfanyi mtu aboronge vinginevyo hiyo sio plan BHizo plan B ndizo zilizowafanya wakaboranga mbele ya safari. Football si msimu mmoja.
Sarri mwenyewe kapaki mabasi mara ngapi. Ule mchezo wa kwanza wa City na Chelsea darajani Sarri kapaki mabasi.
Kuna aina mbili za defensive styles
Aggressive pressing - kuziba mianya ya mpinzani kucheza
Containment - kupaki mabasi
Kama wachezaji wako ni quality players, ukinyang'anywa mpira unafanya aggressive pressing
Ila kama wachezaji wako ni low quality inabidi upaki mabasi - containment styles
Ndio maana timu ndogo zikicheza na timu kubwa lazima zipaki mabasi na kucheza long balls au counter attack
City wakicheza na Chelsea kwa sababu ya quality players walionao city, Chelsea lazima wapaki mabasi hawataweza kufanya aggressive pressing labda kama mnataka kufungwa 10-0
Chelsea wakicheza na timu ndogo ndio hapo unaona Sarribal lakini Sarriball huwezi kuiona Chelsea wakicheza na City au Barcelona na hili sio tatizo la Sarri ni tatizo la quality players ambao wako Chelsea hata kabla Sarri hakuchukua timu
MOU na Conte hawakuboronga na Plan B. Plan B haimfanyi mtu aboronge vinginevyo hiyo sio plan B
Ugomvi na wachezaji ndio uliwaondoa na hio haitawafanya wasiwe makocha wazuri
Hatatufaa huyo gari la mkaa.Wakuu msimu ujao tumeruhusiwa kusajili au? Nmeona sehemu kama Chelsea wanamtaka Bale..
Wasi wasi wangu upo kwa beki pengo la rudiger yule dogo Christensen huwa anapwayaLeo Sarri asituletee umama kujikuta kutafuta draw ugenini. Afunguke tupate ushindi haraka.
Hapo ni kujaza viungo katikati hakuna namna. Wale jamaa wanapiga kabumbu si kidogo na wao watataka kumaliza mechi nyumbani.Wasi wasi wangu upo kwa beki pengo la rudiger yule dogo Christensen huwa anapwaya
Nikifikiria tu tulimuuza Ake Tumempeleka zuma everton bila sababu yoyote hapo kati wangekuwepo hawa vijana wawili tungekaa kwa passwordWasi wasi wangu upo kwa beki pengo la rudiger yule dogo Christensen huwa anapwaya
Acha tuone kocha atakuja na plan ipi leoHapo ni kujaza viungo katikati hakuna namna. Wale jamaa wanapiga kabumbu si kidogo na wao watataka kumaliza mechi nyumbani.
Hapo leo ni kuanza na Kova, Jorginho na Kante. Mbele anaanza Giroud.