Katika mechi nne zilizobaki mna uwezo wa kushinda mechi moja tu na droo moja ya pili bahati. Mnawafuata nyumbani kwao Mbwa Mwitu na Mbweha mnadhani hapo mtapona??Endelea kupiga ramli,tutaona mwisho wa msimu, tutakuja kufukua hili kaburi
tayari zimeshapungua mbili weka 6Ni sawa kwa sababu utabiri wangu ulichukulia ukweli kwamba Arsenal angeshinda mechi ya jana dhidi ya Crystal Palace
Sasa ana the maximum capacity ya pts 5+66 = 71
Michezi iliyobaki msimamo mpya
3 Spurs anaweza kuongeza pts 8 = 67+8 = 75
4 Chelsea anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
5 Arsenal anaweza kuongeza pts 5 = 66+5 = 71
6 Man U anaweza kuongeza pts 6 = 64+6 = 70
Kuliko uliyoota wewe, cha ajabu point 2 zimeyeyukaRaha ya ndoto tena za mchana
Kwa sababu walikubonda wewe, bas unadhan na arsenal atafungwa? Nitakuja kufukua kaburi hili keshoKatika mechi nne zilizobaki mna uwezo wa kushinda mechi moja tu na droo moja ya pili bahati. Mnawafuata nyumbani kwao Mbwa Mwitu na Mbweha mnadhani hapo mtapona??
Halafu cheltako anashinda zote au sio? Huoni unapiga ramli zinafeli hushtuki, akili yako ilikutuma Jana unampiga Burney ,ukajihesabia na point, cha ajabu umevutwa shati,Katika mechi nne zilizobaki mna uwezo wa kushinda mechi moja tu na droo moja ya pili bahati. Mnawafuata nyumbani kwao Mbwa Mwitu na Mbweha mnadhani hapo mtapona??
ZimelalaDua zako zilale mahala pema peponi. Amen!!
Haaaaaaaa alidhan mpira unachezwa jf, sasa hivi yupo jukwaa la mapishi, anashauri eti kababu ziwe zinawekwa pili pili mangaZimelala
Kila la Kheri timu yangu Pendwa Burnley
Eti anapiga ramli kabisa arsenal ktk mech 4 atachukua point 5, cha ajabu kaanza yeye kudondosha point kwa Burney ,na kabakiza mech 3, moja anaenda OT, ambayo wanaenda kugawana point na nyumbu, akipigwa top 4 inakuwa bye bye,tayari zimeshapungua mbili weka 6
Mkuu waache wapumue wenzio dah s michambo hiyoHaaaaaaaa alidhan mpira unachezwa jf, sasa hivi yupo jukwaa la mapishi, anashauri eti kababu ziwe zinawekwa pili pili manga
Hywajui hawa, juzi tumefungwa kisa upuuz WA mustafi ,na upangaji ovyo WA kikosi ,walikuja kama nzi kwenye jukwaa letuMkuu waache wapumue wenzio dah s michambo hiyo
hapo katika 8 punguza 2 zitabaki 6Ni sawa kwa sababu utabiri wangu ulichukulia ukweli kwamba Arsenal angeshinda mechi ya jana dhidi ya Crystal Palace
Sasa ana the maximum capacity ya pts 5+66 = 71
Michezi iliyobaki msimamo mpya
3 Spurs anaweza kuongeza pts 8 = 67+8 = 75
4 Chelsea anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
5 Arsenal anaweza kuongeza pts 5 = 66+5 = 71
6 Man U anaweza kuongeza pts 6 = 64+6 = 70
City umemsahau au umejisahaulishaWeekend hii ni uthibitisho tosha kwa nini Liverpool na City ni title contenders.
Maana kwenye top 6 ndiyo pekee walioshinda.
Apunguze na 3 za OT,hapo katika 8 punguza 2 zitabaki 6