Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Unataka muda uliopo wewe ndio na sisi tuwepo. Ila tuliokuwepo sisi wewe hukuwepo.
Aya nipo mimi. Sema sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahah huna timu wewe kaa kimya haraka sanaUnataka muda uliopo wewe ndio na sisi tuwepo. Ila tuliokuwepo sisi wewe hukuwepo.
Aya nipo mimi. Sema sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa unataka kila mtu acheze mpira?
Kabisa yani hili la kumchezesha hazard kama false 9 niliona toka mwanzo litatucost, kuna baadhi ya game huwa huu mfumo unafaa ila kwa game ngum kama ya jana striker alikua anahitajikaJana tulifungwa na team yenye bahati pia kutokuanza na namba tisa natural ilitufanya tusifurahie mambo adhimu ya Hazard
Chuga mpaka kesho ndio ataonekana maana tuna kikao nae kwa ajili ya kufanikisha barca aende semi final, kwasasa muache apumzikeCc:Ollachuga Oc
Cc:Eden kimario
Nisaidieni kuwatag wengine maana ndugu wa marehemu wanasubiriwa shughuli za mazishi zianze...
kajipiga ban tokea mechi inaanza jana
Mkuu we acha tu. Nilitoa koment baada ya kuona line up kwenye group letu fulani la WhatsApp niliambulia matausi na kejeli kibao, Mara huo mfumo ndiyo alitumia kumfunga man City. Nikawaambia Hazard Sasa ivi yupo kwenye form Ni mzuri akicheza free football. Yaani akicheza nafasi yake anakuwa na positive impact kwa mpinzaniKabisa yani hili la kumchezesha hazard kama false 9 niliona toka mwanzo litatucost, kuna baadhi ya game huwa huu mfumo unafaa ila kwa game ngum kama ya jana striker alikua anahitajika
Mkuu we acha tu. Nilitoa koment baada ya kuona line up kwenye group letu fulani la WhatsApp niliambulia matausi na kejeli kibao, Mara huo mfumo ndiyo alitumia kumfunga man City. Nikawaambia Hazard Sasa ivi yupo kwenye form Ni mzuri akicheza free football. Yaani akicheza nafasi yake anakuwa na positive impact kwa mpinzani
Na ushauri wangu ulionekana wa maana baada ya Huiguan KUINGIA kipindi Cha pili. Naaamni kabisa Sarri mafegi angeanza na striker angemaliza game kipindi Cha Kwanza.
But all in all ndiyo mchezo ulivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula uli utaishia kunawa tu ubingwa ubebiBournemouth aliyekupiga bao 4 nae pia msimu huu ana bahati
Read first wapi nimemdisqualify Willian. Kwa taarifa yako mimi ni admirer mkubwa wa Willian hata siku akiwa kwenye bad form siwezi kumsema vibaya. Willian kwangu ni one of Chelsea legend. kama umefuatilia mada yangu tangu mwanzo nilikuwa nazungumzia kiwango cha Pedro na kama ile nafasi ya Pedro angecheza Odoi kungechangamka!!!!!!!!!!!!!UNAMCHUKIA WILLIAN BAADA YA UWEPO WA ODII BINADAMU HATUNA SHUKRANI
Ken Bates, 1982 purchased it for a paltry sum of £1.Chelsea for sale
Three bidders from US, Asia and UK are targeting to buy the club from Russian billionaire. Roman Abramovich acquired Chelsea in 2003 for £140 million from Ken Bates, who had in 1982 purchased it for a paltry sum of £1 (and thereby made a £17 million profit). The current price tag stand at 2.5bn Sterling Pound. This amount is equal to TZS. 7.5 trillion
Karibuni wawekezaji, ila msije mkaigeuza kuwa kama Sunderland
Correction may be 17 million pound is a net profit after deducting depts. Remember most big clubs has depts. merely equal to half of their net-worth value so likely Chelsea sold at 140 while depts. are at around 123million pound. Just like currently Chelsea is on sale at 2.5bn pound while depts. are at 1.17bn pound. that means if sold at 2.5bn, the net profit will be 2.5bn-140mil-1.17bn pounds= appx 1.19bn poundsKen Bates, 1982 purchased it for a paltry sum of £1.
Sold it for £140 million in 2003.
Made a £17 million profit.
Any additional info or correction to this?
Read first wapi nimemdisqualify Willian. Kwa taarifa yako mimi ni admirer mkubwa wa Willian hata siku akiwa kwenye bad form siwezi kumsema vibaya. Willian kwangu ni one of Chelsea legend. kama umefuatilia mada yangu tangu mwanzo nilikuwa nazungumzia kiwango cha Pedro na kama ile nafasi ya Pedro angecheza Odoi kungechangamka!!!!!!!!!!!!!