Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Hawa Chelsea hata namba 5 hawaipati,Top Four
Man city
Liverpool
Arsenal
Spurs
Mnajua kwanini Chelsea hapewi nafasi?? Kikulacho kinguoni mwako (tumieni akili mtanielewa)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mtabiri Tambitambi.Wewe bwege kweli, Cardiff anakutoa kamasi, hao wengine hata sare hupati
Unajifariji wakati kwa kikos chako hicho tiamajitiamaji , lazima umalize nafas namba 6
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kwani sasa ivi Chelsea iko nafasi ya ngapi.?Hawa Chelsea hata namba 5 hawaipati,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kwan ligi imeisha ,
Kwan hata ww huoni hali halisi
Kwan hata ww huoni hali halisi
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Zizzu kamweka namba 3, Kazi ipo kweli. Kumbuka aliyemfanya Zinedine ajiuzulu mwaka jana alikuwa ni Thibaut pamoja na Cristiano Ronaldo kutaka kuondoka RM. Zizzu alidai RM haina shida na makipa lakini matajiri wakamtaka Thibaut Nicolas, sasa baada ya kurudi anashikilia msimamo wake kuwa Navas na Lucas Zidane (kijana wake Zizzu) wanatosha. Kwa hiyo Courtois anatafuta dirisha la kutokea, mara PSG, mara Man U, Au tumruhusu arudi nyumbani nini?
Sema sari nae hatabiriki mechi ijayo unaweza shangaa kawapiga benc wale walioperform vizuri janaNimsifu Sarri kwa kikosi cha Jana. Alonso, Barkley, Willian, Pedro na Kovacic hawakuanza.
Azpilicueta nae muda c mrefu ntaacha kumtetea kwa kiwango chake.
Hatuwezi kumruhusu arudi kwa sababu aliondoka kwa dharau, pia tayari nafasi yake imeshazibwa kwa kipa mwenye ubora Kepa Arrizabalaga. So hata kama itatokea amekuja atakuja kusugua bench na kupoteza kiwango chake au cha mchezaji meingine.Zizzu kamweka namba 3, Kazi ipo kweli. Kumbuka aliyemfanya Zinedine ajiuzulu mwaka jana alikuwa ni Thibaut pamoja na Cristiano Ronaldo kutaka kuondoka RM. Zizzu alidai RM haina shida na makipa lakini matajiri wakamtaka Thibaut Nicolas, sasa baada ya kurudi anashikilia msimamo wake kuwa Navas na Lucas Zidane (kijana wake Zizzu) wanatosha. Kwa hiyo Courtois anatafuta dirisha la kutokea, mara PSG, mara Man U, Au tumruhusu arudi nyumbani nini?
Sasa subiri ligi iishe ndio uanze kulopoka.Kwan ligi imeisha ,
Subir baada ya mechi 3 , utaniambia labda ukamfunge man u OT,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Achana na uyo ass anal timu yao haina future yeyote ipo ipo tu ..haka uko uefa wanapataka lakini sioni kikosi wanachopeleka uko ni kipi..
Wewe huitaji ligi kuisha, kama una pazia kepa , unadhan liver ,westham, man u ,lei wanakuachaje ?
Unaongeaga utumbo, sasa ila dawa yako ukigongwa kimoja ,tu unajipiga banAchana na uyo ass anal timu yao haina future yeyote ipo ipo tu ..haka uko uefa wanapataka lakini sioni kikosi wanachopeleka uko ni kipi..
Nishasemaga arsenal ni timu ya kukuzia viwango tu ..ukiona mchezaji anaenda arsenal ujue kakosa option na hakuna timu inayomtaka.
Tangu lini mchezaji aliyetakiwa na timu kama ass anal, au chelsea, au man city au Liver halafu akang'ang'ania kwenda ass anal??
Wachezaji wote wanaoendaga ass anal awanaga competition yeyote na timu zingine..
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima tuhakikishe msimu ujao mnaendelea kucheza alhamis
Ndugu yangu arsenal haijawahi kuwa na uhakika na top fourLazima tuhakikishe msimu ujao mnaendelea kucheza alhamis
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Watoto wa dot.com bhana
Tutawashangazaaa..Unaongeaga utumbo, sasa ila dawa yako ukigongwa kimoja ,tu unajipiga ban
Nilishawaambia cheltako inarud kwenye nafas yake tuliyoizoea nafas ya 5-7 ,nadhan kipind hicho ulikuwa hujaanza kujua EPL,
Na hii ban ya usajir lazima msimu ujao mrudi nafas ya 10
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
huyu si aliondoka Chelsea kwa kisingizio cha kuwa karibu na familia yake sasa inabidi atafute timu hapo hapo spain hata Huesca ili asiwe mbali na familyHatuwezi kumruhusu arudi kwa sababu aliondoka kwa dharau, pia tayari nafasi yake imeshazibwa kwa kipa mwenye ubora Kepa Arrizabalaga. So hata kama itatokea amekuja atakuja kusugua bench na kupoteza kiwango chake au cha mchezaji meingine.
Cha kumshauri kwa kuwa bei yake siyo kubwa kiivyo anaweza kupata timu nyingine akaendelea kutengeneza legacy yake. PSG kutamfaa sana coz pale Buffon hana mda mrefu.
Sent using Jamii Forums mobile app