Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Cha kushangaza wa kwanza kulalamika utakua wewe. Ila kwakua leo imetokea kwa Chelsea ndio maana unasema ivyo. HahaaaChelsea wamebebwa sana.....engalnd epl walete VAR
Malizia hivi, alisikika mlevi mmoja wa mataputapu na chang'aa.Ndio maana hata hapa huwezi kuwaona mashabiki wa Chelsea wakishangilia.
Watoto wamenyimwa tuta la wazi halafu bado haikutosha wakafungwa goli la kuotea.
Hii timu msimu ujao itamaliza nafasi ya 10 kama ikijitahidi sana.
Akiweka stats naomba nitag. Huyu huwa anaishia kuongea ongea tu hana cha maana.Kepa unamfananisha na kipa gani wa arsenal.? Leno akija Chelsea atapelekwa kikosi B uko..
Akitoka Oblack, anayemfukuzia Kepa kwa ubora ni Allison na kidogo De Gea..
Kama unabisha weka stats apa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Lembu mimi nilishasema kwa Sarri hatuendi popote. Hakuna future ninayoiona kea huyu kocha hasa kwa Chelsea yetu hii.Sarri comment on Callum Hudson-Odoi is STUPID
Jamie Carragher has blasted Chelsea manager Maurizio Sarri for admitting he only watched 20 minutes of Callum Hudson-Odoi’s full England debut against Montenegro.
Jamaa anadai huyo kocha ni wa ajabu, anaangalia dk 20 mechi ambayo kijana mdogo wa miaka 18 tu anaichezea timu yake ya Taifa na angeangali mechi yote angepata fursa ya kumfahamu Zaidi nguvu yake na udhaifu wake kwa mapaan Zaidi. Badala yake anaenda kuangalia mechi za wazee wa miaka 27, 28, 29, 30, 31 badala ya kuwekeza nguvu kwa kijana mdogo kama Odoi!!
Arsène: “When I die and meet God, and before choosing between Hell and Paradise, I will ask him where all the refs are.”Yan ingeletwa VAR tu epl, hujuma za waz kabsa kuididimiza cardif kua lazima washuke daraja.....mnafanya mipango inazidi kua migumu hapa