OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
mkuu hii timu yetu basi tu ..zile stress za kipind kile za Liverpool zinaamia kwetu ..itabidi tuzoee tuuMwaka huu hampo vizuri kabisa
Yaani Chelsea iliyoanza ligi mechi 10 za mwanzo na hii sasa ni tofauti, sijui nini kimewakuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi barca kitambo tu ..ndo sehemj pekee pa kupoozea maumivu..Ashahamia barca huyo
Sent using simu mbovu
kwhy juve akipigwa mbili automatically matokeo yenu yanakuwa
Wakuu gemu yetu ni saa ngap.?
Everton leo hakuna cha ugenini
Inatakiwa wakae ..japo gemu itakuwa ngumu ..maana kwa sasa jamaa wamefuuka kimtindo lakini ushindi ni muhimu zaid..
Sent using Jamii Forums mobile app
kwhy juve akipigwa mbili automatically matokeo yenu yanakuwa
Everton 2-2 Chelsea?
Sent using simu mbovu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji375][emoji375]nimecheka hatari[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Marehemu alikua handsome..
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu hata haukupaswa kufurahi kwa sababu Chelsea kwa sasa hatuna effect yeyote kwa Liverpool ..sisi hata tukifungwa au kushinda gemu zilizobaki hatutaleta madhara yeyote Yale kwa Liverpool ..kwa huna haja ya kufurahi kwa sisi kupoteza na hata tukishinda huna haja ya kuumia ..AAhahhahahahahahahahh
Duh mnavyojipa ujiko utafikiri kweli kumbe mabua tu
Ahahahahahahahahahah
Mkuu hata haukupaswa kufurahi kwa sababu Chelsea kwa sasa hatuna effect yeyote kwa Liverpool ..sisi hata tukifungwa au kushinda gemu zilizobaki hatutaleta madhara yeyote Yale kwa Liverpool ..kwa huna haja ya kufurahi kwa sisi kupoteza na hata tukishinda huna haja ya kuumia ..
Ichi ni kipindi tu tunapita ..hata ninyi kwa mulipita uku sema kwa sasa wengi mumesahau ..
Am a Chelsea fan the Bluez forever..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyo lopolopo umeipata fresh kashangilie barcelona na mwakan mmilik kasema striker ni crouch au andy carol
Apana mimi nimemanisha timj yeyote inaeza pigwa tu bila kujalisha uwezo ulionao ..kwhy juve akipigwa mbili automatically matokeo yenu yanakuwa
Everton 2-2 Chelsea?
Sent using simu mbovu
Zile tambo za upo FA, UEFA, EPL cjui zinaelekea ukingoni..Ulivyo lopolopo umeipata fresh kashangilie barcelona na mwakan mmilik kasema striker ni crouch au andy carol
Sarri anapaswa aondoke hata leo leo usiku haiache timu yetu..Kwa hiyo wewe ni team SarriIN# au SarriOUT# ?