Na muda huo wa international break wamjengee kibanda cha sari cha kuvutia ganja pale stanford bridge ili apate stimu za ushindi naona hii ndo njia ya kutusaidia sisi chel6 tusishiriki futuhi mwakani mtagini abromovich aweze sikiliza hoja zetu jamaniUkipigwa sasa hivi, mpaka international break iishe ,mtakuwa mmepata taabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Apa top four naona kabisa kuingia ni miaka kumi ijayo..Naona mrusi ameamua kuirudisha team alipoitoa.
Back to where you belong.
Sent using simu mbovu
Matokeo yakojeChelsea mnatia aibu, mnapigwa kama ngoma ya kijiji
Mzee baba mimi nimekubali yote ..Chelsea yetu imeshajifia na mrusi naona katususa..Huyu kijana mzinguaji sana..hajiamini kabisa
Hata mimi sielewi nasikia tu kuna marehemu kafa halafu ugonjwa wanafisha sasa sijui wanamaanisha nini, aliyeangalia gemu atujuze na sisi tuliopo shamba
Kwakweli Pale OT sioni kama tutapona..Timu ndio bovu, usimsingizie The Legendary Sarri ball ....... Hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijipige ban mzee,,sisi wenyewe jana tumelala na ndo mpira wenyeweMzee baba mimi nimekubali yote ..Chelsea yetu imeshajifia na mrusi naona katususa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu huwa sijipigi ban ..nakuwaga na majukumu mengi tu ..Ninachomkubali Ollachuga Oc ni kuwa ana mbwembwe nyingiiiii tena usiombe pale Utd ikifungwa, ila wakipata kipigo anajipigaga ban mwenyewe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona majirahi mumepata mahali pa kupozea maumivu ya misiba yenu..Hizo nguvu za kufunga maturubai umetoa wapi Mkuu?? Pole sana Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Yan ukiangalia vizuri. Kuanzia nafasi ya 4-6 ni tia maji tia majiHapana mkuu huwa sijipigi ban ..nakuwaga na majukumu mengi tu ..
Kwa sasa sisi hatuna timu tena ya kuleta ushindani wowote..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sion kama sarri ana tatizo ..me naona ni wachezaji tulio nao ..mf Alonso anapwaya sana, Uyu dgo alofunga goli la kwanza kamkimbiza sana ..Sijui kwa nn Chelsea wanaendelea kumfuga huyu sari? Anaendelea kutupa aibu
Hahahahahaha..... Ollachuga pole rafiki yanguHii Chelsea Inapaswa ivunjwe kabisa..yani timu ifutwe kabisa kwenye ligi..
Halafu tuanze upya..
Sent using Jamii Forums mobile app