interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
EPL ni ngumu sana mwishoni, kuna timu zinatafuta top 4 na kuna zile zinakwepa kushuka daraja, zinakomaa sana yaani.
EPL ni ngumu sana mwishoni, kuna timu zinatafuta top 4 na kuna zile zinakwepa kushuka daraja, zinakomaa sana yaani.
So kwakweli Man City ana kikosi kikubwa sana UK hata Pep anaelewa hilo lkn huwa wanajua kuandaa mazingira ya ushindi kwa mechi ngumu japo wana timu nzuri.EPL ni ngumu sana mwishoni, kuna timu zinatafuta top 4 na kuna zile zinakwepa kushuka daraja, zinakomaa sana yaani.
Pia huwa hamna mipango nnje ya uwanja zaidi ya kutegemea ndani ya uwanja pekee.
Man City walibebwa mechi ya pili nyuma kabla hajacheza na Watford na kushinda 3-1 wakipewa penati ya kipumbavu kabisa iliyofungwa na Kuna Aguero.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule itabiri wangu wa Spurs kutokuwepo top 4 watu waliuita ramli na sasa ndiko Spurs wanakokwenda
Nakumbusha tu msimamo wa ligi baada ya tar 12/May
- Mancity
- Liverpool
- Chelsea
- Man united
- Spurs
- Arsenal
Sasa hivi hatuangalii ugumu wa mechi ni kuotea tu, Hata Fulamu atamlamba mtu mzima we ngoja uoneNadhani umesahau kuwa Arsenal kwa asilimia 95% ameshamaliza mechi Ngumu/Kubwa zote tofauti na Chelsea.
Kwahiyo usitegemee kumaliza ligi juu ya Arsenal
Chelsea iko na 3, hao wengine watagombea hiyo ya nne, watajua wenyeweNadhani umesahau kuwa Arsenal kwa asilimia 95% ameshamaliza mechi Ngumu/Kubwa zote tofauti na Chelsea.
Kwahiyo usitegemee kumaliza ligi juu ya Arsenal
Kweli maana Zidane is his idol. Japokuwa Hazard is very loyal to his club.Eden Hazard sidhani kama atabaki, Zidane karudi Madrid
Yaan unajitekenya unacheka mwenyeweUle itabiri wangu wa Spurs kutokuwepo top 4 watu waliuita ramli na sasa ndiko Spurs wanakokwenda
Nakumbusha tu msimamo wa ligi baada ya tar 12/May
- Mancity
- Liverpool
- Chelsea
- Man united
- Spurs
- Arsenal
IlikuwajeKaribu tuangalie burudani leo, Chelsea sio ile ya kichwa cha mwenda wazimu tena
Tukutane mayTimu ambayo inaweza maintain matokeo na labda wakabadilishana nafasi ni Man U na Chelsea, Spurs na Arsenal bado ni walewale
Ndugu, inawezekana kweli Chelsea hawakucheza kwa kiwango ulichotegemea ila nina pointi chache ya kutafakarisha kwa pande zote mbili za shilingi, yaani Chelsea kutocheza vizuri na Wolves kuwa na nidhamu ya hali ya juuChelsea jana walizingua sana..wachezaji wanacheza back pass nyingi sana wakiwa hawajafungwa..ila wakifungwa ndo wanajifanya kua sirias na kutafuta goli.
Kikosi cha wapuuzi sana Ile , kocha asije kulaumu akifukuzwa make mechi za kuchukua point anazingua sana...leo mechi moja ya mkononi tungekuatunaesabu kumshusha Toteham
Ni kweli kurudi kwa Zinedine Zidane Real Madrid kutaongeza uwezekano wa Hazard kuhama Chelsea ila kama ban ya Chelsea ikiendelea kuwepo, yaani Chelsea waklinyimwa kusajili kiangazi hii, no way Hazard ataondoka. Aidha yeye hataondoka kwa nguvu au timu haitamruhusu mpaka mkataba wake uishe ili aondoke bure baada ya 2020 na hapo atakuwa na miaka 29, interests ya Real Madrid itakuwa imeisha kwani watakuwa wamehsampata replacement ya CR7.
huyu ndio wa kuondoka hazard maana ashakuwa too much km mtu hana mapenzi na timu kama kina kun aguero for city, drogba for cfcn. K tumwache aendeNi kweli kurudi kwa Zinedine Zidane Real Madrid kutaongeza uwezekano wa Hazard kuhama Chelsea ila kama ban ya Chelsea ikiendelea kuwepo, yaani Chelsea waklinyimwa kusajili kiangazi hii, no way Hazard ataondoka. Aidha yeye hataondoka kwa nguvu au timu haitamruhusu mpaka mkataba wake uishe ili aondoke bure baada ya 2020 na hapo atakuwa na miaka 29, interests ya Real Madrid itakuwa imeisha kwani watakuwa wamehsampata replacement ya CR7.
Kama Ban ya Chelsea itaondolewa angalau kwa mwaka huu, 100% Hazard ataondoka kwa sababu Chelsea atakuwa na uwezo wa kumreplace