It's look wachezaji nao hawamtaki SariLakini hii inaonesha pia Chelsea haina kiongozi ndani ya uwanja.
Hivi Terry na lampard ndio wapo ndani kepa angefanya ule ujinga?
Mfanye maajabu gani wakati Washika Mitutu wapo huko?Nipo mzee baba ..iyo nafasi ya nne najua umenishikia tu.
Kwa leo nilijua tu City lazima angeshinda tu japo sikutegemea kama ni kwa penalties ..
Ila all in all tumefungwa..
Pole kwa fans wote wa Chelsea ..bado tuna Europa tunaeza fanya maajabu uko..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa unajitekenya na kucheka mwenyewe. Na bahati mbaya mashabiki Wa Arsenal hamjuhi maana ya kufika fainali maana hamjawahi kufikaWalivyokuwa wa ajab chelwowo watakwambia kombe lenyewe la mbuzi wakati walikuwa wamelipakia bas[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unasumbuliwa na timu yako kutoingia fainali and so you don't know the feeling. Unaongea kwa sababu hujui unaongea niniChelshit kupiga passi 726,631 bila kufunga ni jambo la kawaida skuiz.. [emoji1787][emoji1787] Ila hii ya kupiga pass hadi kwenye penalty naona sarri kaanza style mpyaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Numbisa katika kumbukumbu za ulimwengu wa soka hasa Ulaya hili ni tukio la kwanza kutokea?
Huyo ni shabiki wa Aseno kajichokea na aliyepost hiyo picha kaedit
Hukutaka kusikia, maana timu ikifungwa lazima tetesi ziwepo na sio kweli Waingereza wanaisusia Chelsea kwa sababu mmiliki wake ni Mrusi, siasa na mpira wapi na wapiAlichokifanya Kepa leo ni aibu kwa manager/coach Sari lakini zaidi pia ni aibu kwa club.
Nimekuwa nikisema hapa kwamba tatizo kubwa Chelsea ni club board.
Wachezaji wamepewa power kubwa mpaka wanafanya mambo ya kudhalilisha uwanjani. Na hata manager akichukua hatua utaona msukosuko unaanza kutokea kwa kocha. Huu upumbavu ni kama ule alioufanya Costa kwa Conte alafu kuna mazwazwa humu yakawa yanatetea ule upumbavu
Huo ujinga huwezi kumfanyia Guadiola, Wenger, Klopp, Pochetino, Mourinho au hata sir Fugerson ukabaki salama.
Club inapaswa kutengeneza mazingira ya kocha kuwa anaheshimiwa kama inavyostahili.
Alichofanya Keppa siyo profetional ni upumbavu mkubwa. And I guess ujinga kama huu kuna muda unafanyika huko nyuma ya camera japo hatuoni.
Bodi yenyewe ya kihuni. Kocha anaweza kubeba ubingwa ila akishindwa mechi 2/3 washaanza kuruhusu tetesi kwamba kocha atafukuzwa. Hakuna hata mtu kwenye bodi anasimama kumtetea kocha dhidi ya vyombo vya habari vya kiingereza.
Itafika mahali makocha makini kama Pep Guadiola, Pochetino, Zidane, na makocha wenye kariba kama yao watashindwa kuja kufanya kazi na Chelsea hii ya sasa. Maana haina heshima kwa makocha
Lastly mnapaswa kuelewa Chelsea ilipokuja imezifunika club pendwa za kiingereza na kuipa man U ushindani mkali. Lakini pia mmiliki Wa Chelsea ni mrusi na Urusi ina mahusiano mabaya na Uingereza. So waingereza wengi wako against Chelsea na wanaichukia sana. Kwa hiyo ni lazima media nyingi ziko against Chelsea. Guadiola alifungwa msimu wa 2016/2017 lakini sikusikia tetesi za kufukuzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kepa ametoa ufafanuzi kuhusu kitendo kilichodaiwa kamgomea kocha wake
View attachment 1031381
The whole story has been exaggerated
Umeanza kushabikia mpira lini?Hapa unajitekenya na kucheka mwenyewe. Na bahati mbaya mashabiki Wa Arsenal hamjuhi maana ya kufika fainali maana hamjawahi kufika
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona ww mgen kwenye tasnia ya footbal,Wewe unasumbuliwa na timu yako kutoingia fainali and so you don't know the feeling. Unaongea kwa sababu hujui unaongea nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea factAlichokifanya Kepa leo ni aibu kwa manager/coach Sari lakini zaidi pia ni aibu kwa club.
Nimekuwa nikisema hapa kwamba tatizo kubwa Chelsea ni club board.
Wachezaji wamepewa power kubwa mpaka wanafanya mambo ya kudhalilisha uwanjani. Na hata manager akichukua hatua utaona msukosuko unaanza kutokea kwa kocha. Huu upumbavu ni kama ule alioufanya Costa kwa Conte alafu kuna mazwazwa humu yakawa yanatetea ule upumbavu
Huo ujinga huwezi kumfanyia Guadiola, Wenger, Klopp, Pochetino, Mourinho au hata sir Fugerson ukabaki salama.
Club inapaswa kutengeneza mazingira ya kocha kuwa anaheshimiwa kama inavyostahili.
Alichofanya Keppa siyo profetional ni upumbavu mkubwa. And I guess ujinga kama huu kuna muda unafanyika huko nyuma ya camera japo hatuoni.
Bodi yenyewe ya kihuni. Kocha anaweza kubeba ubingwa ila akishindwa mechi 2/3 washaanza kuruhusu tetesi kwamba kocha atafukuzwa. Hakuna hata mtu kwenye bodi anasimama kumtetea kocha dhidi ya vyombo vya habari vya kiingereza.
Itafika mahali makocha makini kama Pep Guadiola, Pochetino, Zidane, na makocha wenye kariba kama yao watashindwa kuja kufanya kazi na Chelsea hii ya sasa. Maana haina heshima kwa makocha
Lastly mnapaswa kuelewa Chelsea ilipokuja imezifunika club pendwa za kiingereza na kuipa man U ushindani mkali. Lakini pia mmiliki Wa Chelsea ni mrusi na Urusi ina mahusiano mabaya na Uingereza. So waingereza wengi wako against Chelsea na wanaichukia sana. Kwa hiyo ni lazima media nyingi ziko against Chelsea. Guadiola alifungwa msimu wa 2016/2017 lakini sikusikia tetesi za kufukuzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na ww,inaonekana something behind this.Inaonesha kias gan sarri kashindwa kucontrol dressing room haya mambo hayaanzii hapa uwanjan hii trial kuna mengi nyuma ya pazia
I stand for Chelsea hao wote wataondoka chelsea itabaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijabet lakini ni muda ka klab kenu kanaingia fainali. Kaklub kamejifia sasaNaona ww mgen kwenye tasnia ya footbal,
Ndan ya miaka minne nineingia fainal 3 na chelwowo , nimemlamba zote
Acha kubeti,
Sent using Jamii Forums mobile app