The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
dah sawaWewe kijana acha kuongea pumba
Kiponde ni wewe mechi
Arsenal (2-0)
Bournemouth (4-0)
Man city (6-0)
Man utd (0-2)
Man city (?-?)
Sasa hiki kigenge chako na man utd nani kibonde? Usijitoe ufahamu
Sisi katika mechi 12 tumefungwa moja tena siyo domestic ni international (UEFA)
Sasa niambie nyie katika mechi 12 mumefungwa mechi ngapi!?
Acha kujifariji,kibonde ni timu yako fullstop!!
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha ha haKama mnavyojua wadau.....Uefa imeisha jana ratiba yake mzunguko wa kwanza......tuendelee na majukumu ya kikaz sasa
Hao Man City mnawaona kama miungu watuView attachment 1028494
[emoji23][emoji23]
Nipo mze baba itabid tuzoee hii hali..Inaitwa Sariball
Olachugga kala kona nini??