Wenye akili watalielewa hili ila wengi sijui kama watasoma hili bandiko lenye nukuu za Conte.Menejimenti ilifanya nn baada ya kuaddress mabadiliko ya wachezaji? #SackView attachment 1026405
Ili chelsea ikae sawa huyu kocha hatufai lakini pia laZima tuanze maisha bila hazard... Hazard ni kirusi chelsea na pia sioni kama zidane ni mtu sahihi sana bosi apigane amchikue poshetino
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha aliyekuja kamfanya kua ni engine yake.
Makocha wanajitafutiaga kufukuzwa wenyewe,huwezi kuwa na Kante halafu umchezesha Jorginho DM. Ni ajabu.
Yaleyale ya Jose kumtuliza Herrera bench.
man united wameyarudisha hahahahahahahahahahahahahahahahahaNa Leo pia BATE wamepunguza machungu, usisahau hilo
hiyo age range uliyoitaa hapo haina mahusiano na akili mbovu tafadhalikatka mashabiki wabovu cfc ni ww maana hunaga point tofaut na kukopy ujinga huna akili ya kufikilia yawezekana umri 15-25
hanga nyie watu dahhhhhhhhhhhhh na kamwe hamuwezi kuwa halisi kwa tabia hizi,maana muna indirect attack ......Hahaha, tuwe wavumilivu, mambo mazuri yanakuja.
Nani hawaogopi The Blues?
muna maneno ya k
hanga nyie watu dahhhhhhhhhhhhh na kamwe hamuwezi kuwa halisi kwa tabia hizi,maana muna indirect attack ......
Wewe kijana acha kuongea pumbaɓora tungefungwa na ƴanga kuliƙo hawa vibonɗe man u.
Mpira ni mchezo wa kubadilishana vijiti. My time is coming bro, hold my beer while am recovering.Dah! Siku zinaenda kasi kweli.....
Yani nakumbuka zile kelele za Sarriball naishia kujiuliza maswali yasiyo na majibu.
Teh.. Teh..SARRI FOREVER
Chelsea Halisi tupo
Munaomdharau Sarri hamujui chochote kuhusu soccer management
Hakuna anaanayejua soccer management kumdhidi Sarri humu.
Sarri anajua zaidi kuliko sisi sote humu.