Na kubet ulibet[emoji23][emoji23][emoji23]
Conte alikuwa bonge la kocha. Kuna mazwazwa humu walimponda sana. Ila Conte huyo huyo alikupa kombe Epl na FA mwaka wa pili. Na pia hakuwahi kutudhalilisha kama hiviHii ni dhalili, nammiss conte
Inataka moyo na ujasiri wa hali ya juu kushikana mikono na mtu aliyekudhalilisha mbele ya kadamnasiHivi sarri anatumiaga sigara kali au sigara bwege?...eti akaamua kumpotezea pep.
Naomba matokeo..
Kariabangi warriorsHivi sarri anatumiaga sigara kali au sigara bwege?...eti akaamua kumpotezea pep.
Nimekuelewa ndugu, Najua ushapata jibu nani wa kufundishwa..Kila la heri wadau wetu wa Chelsea
Inabidi Guardiola afundishwe kuwa hii sio La Liga kwa Barca
Hakuna offside pale, Barkley kaassist lile goliNapenda sana mupigwe lakini goli la 3 Aguero ni offside
Then na Man City EFL Cup finalMechi ijayo ni F.A cup dhidi ya Man Utd ya Ole Sendeka.
Sarri anza kupaki mabegi yako, huu ni ushauri wa bure tu!