Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,885
- 51,713
Halafu we bibie unacheka msibani ndiyo nini.
Jamani haponi tena.
Bora tupange taratibu za kuzika
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Halafu we bibie unacheka msibani ndiyo nini.
Jamani haponi tena.
Bora tupange taratibu za kuzika
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Most hat-tricks in PL 11, tied with Alan Shearer.Bila shaka leo Aguero kuna record atakua ameiweka ama kuivunja..!

zinaweza kuzidi, ndio kwanza dakika 62!
Nimejikaza kucheka ila Mitorojo imenikata mainiChelsea mabolizuzu tu hawa. Mitorojo kabisa hii.![]()
HahaaaaKuliko kuendea kuwepo humu, bora nikafungue uzi wenye kichwa CHELSEA YARARULIWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira bado unaendelea ndugu
Wametuachia nyumba![]()


nishachagua kile chumba chenye a.c nakula mahewa
Hamsaaa sio mchezo. City anawaonesha kuwa hana undugu na kenge.Halafu we bibie unacheka msibani ndiyo nini






Marehemu alikuwa jeuri na anajitapa sanaHalafu we bibie unacheka msibani ndiyo nini