lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,488
Kama kocha atawasikilizaPoleni wanna Chelsea wenzangu. Katika siku niliyoumia ni Leo. Niliumia Jana baada ya matokeo. Nakupelekea Leo siku yangu kuwa mbaya sana kidogo nitoroke kazini. Lakini kwa sababu Mimi Ni mwanaume nikajipa moyo konde.
Lakini ndiyo matokeo hatuna namna inabidi tuyapokee ivo ivo. But naamini next game vijana watapamban na kurejesha heahima Stanford bridge.
Viva Chelsea. Chelsea 4reva
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wanalalamikia kocha hawasikilizi, mazoezi ya asubuhi ya siku ya pambano hawataki, kocha anawalazimisha.