Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Fans are angry of Sarri every where, No plan B to the game, No plan B after defeat, no Plan B after being out of top 4, In Fact they are saying Sarri is predictable, even Card City will beat us 7-0, wait and see
 
Jana sijaona tatizo la Jorginho kabsa. Luiz ndo alizngua katuchoma magoli mawili. Au hukuangalia mpira?
huna macho mpira niliona huwez tetea taila kwan goli zote ni luiz luiz alipanda kufanya backup maana midle yako hiyo haina mbinu kaatazame wazungu wanavyolaumu hiyo kenge jognho haijui kubuni nafasi
 
Wafiwa tupo jamani, uliona wapi mfiwa anaongea ongea sana na au kupitapita huku na kule. Tuache unafiki, kufiwa ni tendo baya sana.
Kama umekuja kwenye msiba inabidi uwe na adabu na kama huwezi, msiba haulazimishwi
 
Acha unazi wewe ngedere kitunguu swaumu wewe Timu ya Taufa ya Ufarasa nani anacheza Namba 6 kama sio Kante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we nae ni j..... Kweli erkisen ni wa kufananisha taila mkuu jognho acha ww ujui tuachie cfc yetu
 
The problem isn't Sarri, it's our players' characteristics. We are not direct but passive
Sarri is the problem...he is very damn stubborn...naive to realize his stupid system can't work with this damn dead woods.
He has to change his tatics and allow cante play in his previous role so that he can protect our shambles back line.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakati mwingine mashabiki akili zetu tunazijua wenyewe sisi kule kwetu tunamlaumu klopp,juzi juzi tu arsenal nao walikuwa wanamlaumu emery sasa bado zamu ya ole gunna

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea hatuna uvumilivu kama wa Liverpool na Arsenal na usitufananishe aisee. Tumezoea makombe ndio utamaduni wetu na huyu mzee lazima tu atimuliwe. Tunahitaji kocha wa kuifanya timu ishinde period
 
Sarri is a big problem, no plan B, very very predictable as always
 
Hiyo box to box ni namba ngapi?

Mm ninachojua conte alikuwa anatumia viungo wawil wakabaj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia Akili basi. Box to box ndo no.ngapi?? Ni 6,7,8,9,10 au 11??
 
Tumia Akili basi. Box to box ndo no.ngapi?? Ni 6,7,8,9,10 au 11??

Box to Box sio namba 6 bali katika mfumo wa namba ni kama 8 ila anafany kukaba(box lake) na kushambuli(box la maadui) yani anazurura baina ya box lake na la maadui timu pinzani
 
Kante 6, Joginho 8(Au Ampadu apewe Nafasi au kununua mbadala wa fab4 Leo kama inawezekana..no.7 Odoi, winga ya kushoto Hazard.Higuain no.9 nyuma ya Higuain Acheze Loftus.Luiz Asicheze kila match.Christensen Apewe Nafasi.Emerson Aendelee kuaminiwa.
Kante rud 6 jojinho nenda 8 ,bas tutamuona @Ollachuga humu,

Vinginevyo atakuwa anajipiga ban kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Box to Box sio namba 6 bali katika mfumo wa namba ni kama 8 ila anafany kukaba(box lake) na kushambuli(box la maadui) yani anazurura baina ya box lake na la maadui timu pinzani
Nambie majukumu ya no.8
 
Sarri is a big problem, no plan B, cery very predictable as always

Sarri ana tatizo gani ?timu ina create chancs kibao tatizo forward zenu butu bana mwacheeni Maurizio wawatu aendelee kupiga Embassy zake tu mmetengeneza nafasi sawa na manchester city mpaka now ila finishing mbovu alafu mnamlaumu Sarri labda umlaumu kwa kumleta fat alvaro Morata na kutokutafuta Forward wa maaana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…