Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
baada ya Gatuso kumchana live naona sasa anaendelea kuimprove siku hadi sikuTiemoue Bakayoko v Napoli
89% Pass accuracy
1/1 Long ball
1/3 Shots
3/3 Dribbles
2 Dribbled past
10/14 Duels
2/2 Tackles
3 Interceptions
3 Clearances
4 Was fouled
Watu kwa chuki cfc ina mpira gani wa kasi imekuwa tot au liverMkuu mimi sina tatizo na goal scoring record ya Higuain, Ukiangalia Performance yake wakati yuko AC Milan kwa mkopo utaona hajawa na msimu mzuri kivile, amefunga magoli 6 na assist 1 na amecheza dakika 1280. Anaumri mkubwa (32) sidhani kama ataendana na mpira wa kasi uliopo Chelsea sasahivi. Utaendelea kushuhudia magoli ya Chelsea yanafungwa na Hazard pamoja na Willian.
Na hata kama idadi ya magoli ya Juve imepungua sidhani kama Higuain angeperform vizuri kuliko Ronaldo kwa wakati huu, angalia record zao utaona, Ronaldo anagoli 15 na assist 5 ni wa pili kwa magoli pale Serie A anazidiwa goli moja na yule jamaa wa Sampdoria.
My team for tomorrow’s game : Kepa, Azpi, Rudi, Luiz, Emerson, Kante, Jorginho, RLC, CHO, Higuain, Hazard
Mpira wa Hazard na Willian unauonaje? Au hata huoni kwanini Morata huwa hafungi sana.Watu kwa chuki cfc ina mpira gani wa kasi imekuwa tot au liver
Ni ngumu sana kumnunua mchezaji aliyehit msimu mmoja. Kwa mfano Belloti wa Torino tulikuwa tunamtaka kipind cha conte. Sasa hv nan anamsikia tena?
Piatek amehit msimu mmoja? Dogo alikotoka kwao huko licha ya umri wake mdogo alikuwa na wastani wa goli moja kwa kila mechi mbili
No no huyu alichukuliwa Milan kumreplace Higuaín. Hii ya PSG imekuja lini tenaPiatek hatar sjui kwnn chelsea hatukmnnua hyu jamaa bado kjana na n mzur kiungo tena wa argentina nae kaend psg duuuuh hii bodi chenga kwel unampaje majukum ya ksajili mwanamke ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Piatek kasajiliwa AC Milan mbadala wa Higuaín na jana kaifungia AC Milan goli 2 dhidi ya Napoli katika mechi yake ya kwanza Coppa Italia quarterfinals.Piatek hatar sjui kwnn chelsea hatukmnnua hyu jamaa bado kjana na n mzur kiungo tena wa argentina nae kaend psg duuuuh hii bodi chenga kwel unampaje majukum ya ksajili mwanamke ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na m nashangaa anaesema kahit msim mmja wakt n mchezji mzur klko ata hyo higuain na bdo kjana daah hii chelsea saiv uozo tu bodi hamn ktu hyo mwanamke hawez ktufkisha kkotePiatek kasajiliwa AC Milan mbadala wa Higuaín na jana kaifungia AC Milan goli 2 dhidi ya Napoli katika mechi yake ya kwanza Coppa Italia quarterfinals.
Kachezea Cracovia, Genoa na sasa AC Milan, kote huko alikuwa mfungaji bora. Mfungaji bora wa timu tatu misimu mitatu bado unamuita amehit msimu mmoja?
Ni ngumu sana kumnunua mchezaji aliyehit msimu mmoja. Kwa mfano Belloti wa Torino tulikuwa tunamtaka kipind cha conte. Sasa hv nan anamsikia tena?
Mwambie iyo kwa sasa Chelsea tumekosa kiungo mbunifu JORGINHO yeye anachoweza ni kuoiga pass nyingi tena pasi zake fupi fupi azina mazara na anapiga pasi hapo hapo alipo awezi kuamisha mipira awezi kupiga cross pass ikamfikia mlengwa kama alivyokua anapiga Fab JORGIMHO ni mzito sana wewe jiulize kiungo fundi mchezeshaji kaanza katika mechi zote lakini ata Asist moja hana ukiangalia Feb alipiga asist japo kucheza mara chache na hata Luis pia anapiga Asist tunaitaji kiungo mbunifu kwa kweli tunapata shidaTatizo sio mbele peke yake, pia kuna shida ya Jorginho akicheza mechi nyingi anakuwa wa hovyo sana, tukimpata replacement ya Fab wa level yake au juu Zaidi Chelsea inaweza sasa kurelax. Yaani timu tuna akina Pedro, Willian, Hazard na sasa Odoi ma Higuaín halafu tuendelee kuamini kuwa tatizo liko mbele wakati watoa huduma hawapo, aliyekuwa anajitahidi ni Luiz pekee. Enzi tunachukua ubingwa wakati wa MOU na Conte, Fab alikuwa kwenye top form yake alikuwa akifanya dangerous passing na ikatuwezesha kutwaa ubingwa. Sasa Fab hayuko tena yupo Jorgninho?? Tungempata parades au hata Eriksen ingesaidia sana timu kukamilika kutoka nyuma hadi mbele