Huyu Higuain ambaye hata Morata amefunga magoli mengi kuliko yeye msimu huu ?Gonzalo Higuain move to Chelsea is bad news for Man Utd
GONZALO HIGUAIN’s arrival at Chelsea would put a huge dent in Manchester United’s chances of finishing in the top four this season.
Higuain will have a big impact during his time at Stamford Bridge, so much so that it will maintain Chelsea’s position in the Premier League table.
poleni sanaView attachment 1002429
serious kabisa? Yani tumuuze kante? Kwa mfano ikitokea akaja kocha mwingine akabadili mfumo si tutamkumbuka sana huyo kante. Na mm nina imani huyu kocha hatuyadumu naye mda mrefuTeam yetu ili iweze kushindana inahitaji wachezaji at least 4 wapya kutupekeka top four, ni bora kumuuza Kante na kumnunua cotihno tunampotezea muda kante kwa mwalimu aliyepo, tunamwitaji wan Bisaka azp awe anapumzika, Alonso bado naamini akili yake ikiendana na miguu yake Atafanya Makubwa , jogihno ampishe peredez ikiwezekana epl imekuwa nzito kwake, Higuain safi, ila sijui sababu ya kusajiri winga na kumuacha Dortmund team inateseka
Haki ya kuchangia unayo ndugu na umeisemea Chelsea kuliko hata SarriHuyu Higuain ambaye hata Morata amefunga magoli mengi kuliko yeye msimu huu ?
Na kibaya zaidi anakuja katikati ya msimu
Chelsea ina matatizo kuanzia beki,kiungo na mshambuliaji ngoja tusubiri kuona Higuain anafuta makosa ya kina Alonso,Willian,Jorginho
Sent using Jamii Forums mobile app
This si a hoaxpoleni sanaView attachment 1002429