Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Si unajua mambo ya time difference mechi yetu imebidi niangalie kipindi cha pili, nilivyoona scoreline nikaishiwa nguvu nikasema siingi forum mpaka mechi iishe lol.
Shukuru goli 2 ziliingia kipindi cha kwanza, nina huakika mdomo wa Ferguson umefanya kazi dressing room.
hiyo ndiyo kazi ya kocha, walaaaah vikombe vitatu mwaka huu.
arsenal wanaweza kuwapa lifeline leo huwezi kujua.Ooops! Nguvu zote sasa kwenye CL, sidhani kama tuna chance kwenye EPL tena.
Ooops! Nguvu zote sasa kwenye CL, sidhani kama tuna chance kwenye EPL tena.