Piatek ni mzur sana bora hyo na sdhan km atakua na bei snPlayers below are on Chelsea Radar in January 2019 window:
1) Gonzalo Higuaín 31yrs- striker -still a target
2) Mauro Icardi 25yrs- striker
3) Marko Arnautovic 29yrs- striker
4) Krzysztof Piatek 23yrs- striker
5) Denis Suarez 25yrs CMF
6) Jamie Vardy 32yrs- striker
7) Callum Wilson 26yrs - striker
8) Nicolò Barella -21yrs - MF
9) Leandro Paredes - 24yrs - MF
Sjiui lilinunuliwa la kazi gani hasa pale Chelsea, linaniudhi kweli kupigapiga vipasi uchwara visivyozalisha hata matundaJognho useless tu
Alonso umri umeshaenda na kumbuka Alonso na Azpilicueta ndiyo mabeki wa Chelsea pekee waliocheza muda mrefu sana bila ya kupumzika.Alonso anafanya jogging tyu. Willian japokuwa kafunga lakn ni mbovu katika kumaliza (hana end product)
PEP tena kilaza jamani, kwani vilaza huwa wakoje?Usilifananishe hilo kilaza PEP na libaguzi la rangi ktk mafanikio ya ukocha bora wa Mourinho.
Mourinho anazidiwa na Ancelot tu kimafanikio lkn PEP bado ni mdogo pia kimafanikio kumlinganisha na "SPECIAL ONE" JOSE MOURINHO, kama mimi ni mwongo, lete facts/uthibitisho wowote na chanzo cha habari kiwepo kisha utanielewa ninachoyakinisha hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mourinho overall ana makombe 25PEP tena kilaza jamani, kwani vilaza huwa wakoje?
Kumbuka huyo kilaza huyu ndie analipwa zaidi katika ligi za Ulaya kwa mshahara wa £15.3 millioni kwa mwaka, pia kumbuka kuwa PEP ndie aliyeifumua Man City iliyokuwa kichwa cha waenda wazimu na sasa ni tishio England na Ulaya kote.
Mimi ni mfuasi mkubwa sana wa Mou lakini Mou hawezi mkuta PEP kwa creteria zote za ubora wa kocha
Mfano katika wingi wa trophies PEP yuko juu ya Mou PEP anazo kama 23 wakati Mou ni 21 tu. Kwa makombe ya kimataifa kama UEFA nk, PEP anazo 8 sawa na Furgie, Ancelotti wakati Mou anazo 4 tu hata akina Banitez-5, Zizzu-7 wamempita Mou
Winning %age
PEP ana wingning %age ya 73 wakati Mou ni 65 tu hata Zizzu wa 70% amemshinda Mou
Kwa hiyi nahitimisha kwa kusema kuwa Kocha wa Football mzuri kwa nyakati zote anaweza kuwa ni Alex Furgusson lakini kwa current coaches ni PEP Guardiola. Mou inabidi ajitahidi sana ili afikie rekodi ya PEP.
Wakati Mou ana karibu miaka 20 akifundisha soka, PEP anazo 10 tu na haya mafanikio yote kayapata ndani ya hizo miaka 10
Kwa hiyo ukipima mafanikio ya makocha kwa rate ya mwaka mmoja PEP ni wa tatu baada ya Zizzu akifuatiwa na Bob Pasley kocha wa Liverpool aliyeipa jina Liverpool hii ya leo ambayo akina King NGwaba wanaishabikia, nafikiri asingekuwa Bob hawa washabiki wa Liverpool leo wangekuwa aidha man united, arsenal au Chelsea. Mou anakuja nyuma sana akipitwa na akina Luiz Enrique na Antonio Conte
mfumo wote n mbovu kufunga goli si lazima muwe na forwar ndio upate goli 100 timu yangu cfc ni mbovu ktk kushambuliaMuhimu point tatu wakuu.
Tunacheza mpira mwingi lakini magoli yanakuwa machache.
Kwa sasa timu itafute straika hata wawili tukiongeza na beki ya pembeni asaidiane na Alonso au kocha aanza mtumia Emerson EPL..
Winga Odoi kama akibaki atatufaa sana kwa msimu ujao ..akiwa na Pulisic kushoto na yeye kulia kati kuna harzard mbele kidogo kuna Icard/higuani ..Willian inaonekana kaichoka Chelsea hivyo msimu ujao Sarri awape nafasi zaid Odoi ili kumpunguzia kazi Hazard..
Sent using Jamii Forums mobile app