The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,433
Mlitupa presha sana nyie chelsea! Maneno kila dakika ubingwa wenu!! Saiv mpo wapi, nasikia na mtaalam wa saikolojia ya wachezaji mnahangaika kutafuta. Moto wa kifuu haupikii makande
Eminalo saiv yuko Monaco, mbona inafanya vibaya?Issue za kisiasa zimeanza mwaka huu. Chelsea tumepoteza nguvu katika usajili toka alipoondoka yule mnigeria Michael Emenalo. Mpaka sasa tunafanya sajili za kawaida hatuna nguvu kubwa katika kushawishi wachezaji.
Kweli Uyu jamaa akirudi tutakimbiza sana ..maana timu imekosa mmaliziaji wa maana.Tumrudishe Costa
Eminalo saiv yuko Monaco, mbona inafanya vibaya?
Nilisikia nafasi yake angepewa Lampard au Drogba ..iyo khabari zilishia wap au ni tetesi zilikuwa.?Effect haiwezi kuonekana sa ivi. Mpe muda jamaa anajua kuona vipaji.
Nilisikia nafasi yake angepewa Lampard au Drogba ..iyo khabari zilishia wap au ni tetesi zilikuwa.?
Kwani nyie mmeshafika eh!Mlitupa presha sana nyie chelsea! Maneno kila dakika ubingwa wenu!! Saiv mpo wapi, nasikia na mtaalam wa saikolojia ya wachezaji mnahangaika kutafuta. Moto wa kifuu haupikii makande